Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mbona sahivi hakuna nchi yeyote ni industrial power houseModern medicine inayokutibu wewe kuanzia ulipozaliwa hadi sasa ni maendeleo ya muislam AVICENNA Ibn Sinna. Sulphuric acid unayoitumia ni discovery ya muislam wa kiajemi. Algebra uliyoisoma ni discovery ya muislam Aljabbir.
Mbona waislamu wa sahivi hakuna chochote wanachovumbua
Nchi tano zenye uchumi mkubwa hakuna nchi hata moja ya kislamu