Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

Utajiri unapimwa na gdp hiki ndo kigezo kikubwa
Marekani ni superpower sababu ya gdp
Pole yako. Uchumi unapimwa kwa Nominal GDP ila utajiri unapimwa kwa gdp per capita,GNI(Gross National income) na HDI pamoja na Purchasing power parity. Kwa vigezo hivyo USA ni ya 10 kijana. Fuatilia mambo kabla hujaropoka.
 
Hata wewe unaweza jenga nyumba yako ukaiita kanisa
Ila kwenye ukristo ushoga haurusiwi
Sijui kwanini unapenda sana kujifariji kwa mambo ya uongo na kutunga
Hii vipi Mkuu ??

1791025968095.png
 
Acha upotoshaji na uongo ndo shida ya waislamu wengi hakuna mstari kama huo kwa hiyo acha uongo

Matthew 19:10–12
👇👇👇👇
10 The disciples said to him, “If such is the case of a man with his wife, it is better not to marry.” 11 But he said to them, a“Not everyone can receive this saying, but only bthose to cwhom it is given. 12 For there are eunuchs who have been so from birth, and there are eunuchs who have been made eunuchs by men, and there are eunuchs who have made themselves eunuchs dfor the sake of the kingdom of heaven. Let the one who is able to receive this receive it.”
 
India,,miaka ya 1600 hadi 1700 ilikuwa inatawaliwa na mfalme ambaye alikuwa anaitwa king Shah Jahan ambaye alikuwa Muslim,,,,na ndy aliyeijenga ile Taj Mahal miaka ya 1630-1650 kama sijakosea..
Utawala wake ukaja kuangushwa na England miaka ya 1700.,kipindi hicho India ilikuwa inchi moja na Pakistan,,iliitwa Hindustan..
Baada ya England kuondoka India,,, Hindu wakapata nguvu na kuwafurusha waislam wengi wakakimbilia Pakistan ,wakati huo hata Bangladesh ilikuwa ndani ya Pakistan..
Misikiti mingi ilivunjwa India na kugeuzwa temples za hindu...
Mwaka 1999 Nimeshuhudia msikiti mkubwa sn hapo New Delhi,msikiti ambao ulikuwa unagombaniwa na wahindu na waislam ,,ikabidi serikali ya india waufunge..kwa usalama wa raia wake wasiuane..
Pengine ndy huo msikiti unaovunjwa leo.
90% ya masikini na ombaomba India ni Muslim sababu walipokonywa mali zao nyingi sn na wahindu wakati wa kujitenga na Pakistan..mwaka 1947.

Mkuu hebu soma tena historia wahindi na dini zao ndio dini kongwe zaidi duniani kuliko dini yoyote
 
Mkuu hebu soma tena historia wahindi na dini zao ndio dini kongwe zaidi duniani kuliko dini yoyote
Ni kwl kongwe kwa sababu uislam uliingia Karne ya 7 ,ila shida ya Hindu wanavunja miskiti hata ambayo hayaina uhusiano wowote na temple za Hindu..
Kwa kifupi wanauchukia sn uislam.
 
Ni kwl kongwe kwa sababu uislam uliingia Karne ya 7 ,ila shida ya Hindu wanavunja miskiti hata ambayo hayaina uhusiano wowote na temple za Hindu..
Kwa kifupi wanauchukia sn uislam.

Tatizo ni mentality ya waislamu wengi kutokukubali dini nyingine na kupenda fujo na kujiamuliamualia mambo ndio sababu ya kutokupendwa kwa sehemu kubwa na ajabu kwenye mataifa yao hawafanyi hayo mambo, mifano UAE, Qatar, Saudi, Oman, Jordan huwezi kukuta ujinga wanaoufanya kwenye mataifa mengine.
 
Sio China tu ni nchi nyingi inapunguza idadi ya nyumba za ibada na hilo wala sio jambo baya. Rwanda hapo wanapunguza hadi makanisa navyokwambia sasa hivi.
Kwa hyo nchi yako imekuwa ya kuiga iga iga ila kinachofanywa na nchi nyingine?
 
Acha upotoshaji na uongo ndo shida ya waislamu wengi hakuna mstari kama huo kwa hiyo acha uongo

Matthew 19:10–12
👇👇👇👇
10 The disciples said to him, “If such is the case of a man with his wife, it is better not to marry.” 11 But he said to them, a“Not everyone can receive this saying, but only bthose to cwhom it is given. 12 For there are eunuchs who have been so from birth, and there are eunuchs who have been made eunuchs by men, and there are eunuchs who have made themselves eunuchs dfor the sake of the kingdom of heaven. Let the one who is able to receive this receive it.”

Mkuu mbona hapo kaingizwa eunuch badala ya gays ??

Hivi uliangalia hii aya inasemaje kuhusu eunuch ??

Hao waliobadilisha walisahau hii aya ??

Deuteronomy 23:1 MSG (The Message)​

No eunuch is to enter the congregation of GOD.
 
Kuna tofauti kati ya agano la kale na jipya ndo maana agano la kale walikuwa wanatoa kafara ila agano jipya hatutoi kafara
Usiwe unasoma biblia kama gazeti ndo tatizo kubwa la waislamu

Mfano wa 2- Torati inasema jino kwa jino ila agano jipya kipitia Yesu limesema hakuna jino kwa jino bali kisasi ni kwa Mungu

Mfano wa 3-Yesu aliletewa mwanamke aliyezini na according to Torati anatakiwa apigwe mawe ila akawaambia kama kuna mtu ambaye hana dhambi ampige mawe alijikuta amebaki na mtuhumiwa na watu waliomleta wameondoka- pale Yesu hakufuata torati

Eunuch ni watu walioamua kutokuoa na kumtumikia Mungu kwenye biblia wako wengi
Kuanzia isaya, yeremia, Yesu, paul n.k hawa hawakuoa wala kuwa na familia
 
hiyo dini ni.kansa ya dunia mkuu
Bahati mbaya mikasa yote ya dunia wakristo na wayahudi ndio wamesababisha.
1.Nani kaanzisha vita ya kwanza na ya pili ya dunia!?
2. Jamii gani imefanya zaidi mauaji ya kimbali na alaiki?
3. Nani kaanzisha biashara kubwa ya utumwa ya mabara matatu??
4. Nani aliwatumia wamishonari kuhadaa waAfrika ili kuvutia ukoloni!??
Nijibu maswali haya manne tu.
 
Tatizo lako unadhani dunia imeanza mwaka 1900
Nikusaidie dunia ina miaka elfu 2 baada ya Yesu kuzaliwa na kabla ya hapo ilikuwa na miaka elfu 4 kuanzia ibrahimu mpaka Yesu

hapo hujahesabia kuanzia adam mpaka ibrahim ambapo ni miaka mingi sana sababu wakati huo watu walikuwa wanaishi mpaka miaka mia 9, mia 5

Wakati utawala wa caliphate mbalimbali baada ya muhammad kufa uislamu ulisambaa kwa upanga watu walichinjwa haswa
 
Back
Top Bottom