Pole yako. Uchumi unapimwa kwa Nominal GDP ila utajiri unapimwa kwa gdp per capita,GNI(Gross National income) na HDI pamoja na Purchasing power parity. Kwa vigezo hivyo USA ni ya 10 kijana. Fuatilia mambo kabla hujaropoka.Utajiri unapimwa na gdp hiki ndo kigezo kikubwa
Marekani ni superpower sababu ya gdp
Kama hairuhusiwi kwanini Pope wa Vatican catholic ameruhusu!?Hata wewe unaweza jenga nyumba yako ukaiita kanisa
Ila kwenye ukristo ushoga haurusiwi
Sijui kwanini unapenda sana kujifariji kwa mambo ya uongo na kutunga
Hii vipi Mkuu ??Hata wewe unaweza jenga nyumba yako ukaiita kanisa
Ila kwenye ukristo ushoga haurusiwi
Sijui kwanini unapenda sana kujifariji kwa mambo ya uongo na kutunga
India na China hawataki huo upuuzi.Ivi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako???
View: https://www.instagram.com/reel/Dd83ARlFLew/?stkn=cTJydWZoeXUzYXI1
Acha upotoshaji na uongo ndo shida ya waislamu wengi hakuna mstari kama huo kwa hiyo acha uongo
India,,miaka ya 1600 hadi 1700 ilikuwa inatawaliwa na mfalme ambaye alikuwa anaitwa king Shah Jahan ambaye alikuwa Muslim,,,,na ndy aliyeijenga ile Taj Mahal miaka ya 1630-1650 kama sijakosea..
Utawala wake ukaja kuangushwa na England miaka ya 1700.,kipindi hicho India ilikuwa inchi moja na Pakistan,,iliitwa Hindustan..
Baada ya England kuondoka India,,, Hindu wakapata nguvu na kuwafurusha waislam wengi wakakimbilia Pakistan ,wakati huo hata Bangladesh ilikuwa ndani ya Pakistan..
Misikiti mingi ilivunjwa India na kugeuzwa temples za hindu...
Mwaka 1999 Nimeshuhudia msikiti mkubwa sn hapo New Delhi,msikiti ambao ulikuwa unagombaniwa na wahindu na waislam ,,ikabidi serikali ya india waufunge..kwa usalama wa raia wake wasiuane..
Pengine ndy huo msikiti unaovunjwa leo.
90% ya masikini na ombaomba India ni Muslim sababu walipokonywa mali zao nyingi sn na wahindu wakati wa kujitenga na Pakistan..mwaka 1947.
jee ndugu zako wanaopenda ndoa za jinsia moja makanisani wanapenda kitu gani ??
Yeah wamejitenga wahindi kuna madaraja ma 4 au 5 india kulingana na races..na kila mmoja anajua nafasi yake kwenye jamii..Kabisa ,, halafu hata hao Hindu wanawabaguwa wahindi wenzao wale weusi..Kerla
hiyo dini ni.kansa ya dunia mkuuIvi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako???
View: https://www.instagram.com/reel/Dd83ARlFLew/?stkn=cTJydWZoeXUzYXI1
Kuna hinduYeah wamejitenga wahindi kuna madaraja ma 4 au 5 india kulingana na races..na kila mmoja anajua nafasi yake kwenye jamii..
Ni kwl kongwe kwa sababu uislam uliingia Karne ya 7 ,ila shida ya Hindu wanavunja miskiti hata ambayo hayaina uhusiano wowote na temple za Hindu..Mkuu hebu soma tena historia wahindi na dini zao ndio dini kongwe zaidi duniani kuliko dini yoyote
Ni kwl kongwe kwa sababu uislam uliingia Karne ya 7 ,ila shida ya Hindu wanavunja miskiti hata ambayo hayaina uhusiano wowote na temple za Hindu..
Kwa kifupi wanauchukia sn uislam.
Kwa hyo nchi yako imekuwa ya kuiga iga iga ila kinachofanywa na nchi nyingine?Sio China tu ni nchi nyingi inapunguza idadi ya nyumba za ibada na hilo wala sio jambo baya. Rwanda hapo wanapunguza hadi makanisa navyokwambia sasa hivi.
Acha upotoshaji na uongo ndo shida ya waislamu wengi hakuna mstari kama huo kwa hiyo acha uongo
Matthew 19:10β12
ππππ
10 The disciples said to him, βIf such is the case of a man with his wife, it is better not to marry.β 11 But he said to them, aβNot everyone can receive this saying, but only bthose to cwhom it is given. 12 For there are eunuchs who have been so from birth, and there are eunuchs who have been made eunuchs by men, and there are eunuchs who have made themselves eunuchs dfor the sake of the kingdom of heaven. Let the one who is able to receive this receive it.β
Kuna tofauti kati ya agano la kale na jipya ndo maana agano la kale walikuwa wanatoa kafara ila agano jipya hatutoi kafaraMkuu mbona hapo kaingizwa eunuch badala ya gays ??
Hivi uliangalia hii aya inasemaje kuhusu eunuch ??
Hao waliobadilisha walisahau hii aya ??
Deuteronomy 23:1 MSG (The Message)
No eunuch is to enter the congregation of GOD.
Bahati mbaya mikasa yote ya dunia wakristo na wayahudi ndio wamesababisha.hiyo dini ni.kansa ya dunia mkuu
Nchi yangu ipi? Na umeongea kwa munajili upi!?Kwa hyo nchi yako imekuwa ya kuiga iga iga ila kinachofanywa na nchi nyingine?
Tatizo lako unadhani dunia imeanza mwaka 1900Bahati mbaya mikasa yote ya dunia wakristo na wayahudi ndio wamesababisha.
1.Nani kaanzisha vita ya kwanza na ya pili ya dunia!?
2. Jamii gani imefanya zaidi mauaji ya kimbali na alaiki?
3. Nani kaanzisha biashara kubwa ya utumwa ya mabara matatu??
4. Nani aliwatumia wamishonari kuhadaa waAfrika ili kuvutia ukoloni!??
Nijibu maswali haya manne tu.