Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

Kwa mujibu wa bandiko lako hapo juu; Inaonekana haujabomolewa ila ule mnara ndio ulivunjwa
"Officials described it as an accident caused by faulty machinery"

Huo msikiti ndo umebomolewa watu wakaandamana wakataka wabomoe wenyewe na zipo video wakiwa wanabomoa
 
muhamad ndio chanzo cha vita dini wewe. dini ya kiislam haiwez kuenea bila nguvu. wewe unalinganisha vita vya maslah na vya kidini vya chuki? nikuulize swali muda huu Saudia na Yemen wanapigania vita gan au Sudan. eti wamishenar walikaribisha wakolon. hiv unajua waarabu wao walikuja na hawakuondoka mpaka leo unajua affrika kaskazin yote ilikuwa ya waafrka? waarabu wakawaua wote wakachukua nchi zao. hapo zanzibar ni pa waafrika lakin unajua waarabu walipafanya kwao waafrika wakawa.watwana tatizo hamtaki kuukubali ukweli
 
Modern medicine inayokutibu wewe kuanzia ulipozaliwa hadi sasa ni maendeleo ya muislam AVICENNA Ibn Sinna. Sulphuric acid unayoitumia ni discovery ya muislam wa kiajemi. Algebra uliyoisoma ni discovery ya muislam Aljabbir.
Hapana uislamu hauna mchango wowote hapo isipokuwa hao wagunduzi
 
tafsiri ya eunuch ni hii hapa ,

A eunuch is a boy or man who has been castrated, meaning his testicles or external genitals were removed or destroyed. [1, 2, 3]

Sorry mimi siongelei jino kwa jino, wala mambo ya kuzini. Hayo yote Bwana Yesu alisema
Mathayo 5:17-18 (Swahili Union Version):

17 Msidhani ya kuwa nilikuja kuitangua Torati au Manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.

Sasa kama mbingu zimeshatoweka au nchi zimeondoka hapo ningalikubali maelezo yako lakini , mpaka sasa hazijaondoka na yesu yesu ameshasema sheria ziko pale pale hata nkta haitoondoka.

kwa hivyo usijaribu kumhalalisha eunuch kumuingiza katika ufalme wa Mung. Haingii au labda lete aya aliingizwa na Yesu mwenyewe.

Sorry charlie Deut.23:1 iko pale pale

The Darby Translation

1 He that is a eunuch, whether he have been crushed or cut, shall not come into the congregation of Jehovah.
 
Eunuch sio ushoga na hutakaa uwe ushoga
Yesu alikuwa ni eunuch hakuwa na familia hata iko kitabu chenu hakuna sehemu kimesema Yesu ambaye mnamwita issa alikuwa na familia au mahusiano

Nakuuliza ntajie familia ya issa aliyetajwa kwenye quran kuanzia mke wake na watoto wake niko pale nasubiria jibu
 
Akili yako iko sawa ?? Tunaongelea eunuch kuingia ufalme wa mungu , hakuna mahali yesu alifanywa eunuch kwa kutolewa pumb zake au dhakari yake kukatwa kama iko aya ilete.

kwa hivyo hujaleta ushahidi wa uongo wa hii aya

View attachment 3683614
Ntajie familia ya nabii isah kwenye quran
Kuanzia watoto, na mke wake kama ukinionyesha aya kwenye quran basi ntakubaliana na wewe
 
Ntajie familia ya nabii isah kwenye quran
Kuanzia watoto, na mke wake kama ukinionyesha aya kwenye quran basi ntakubaliana na wewe
hiyo siyo tunayoongelea , Tunaongea kuhusu hii aya hapa chini ambayo umesema si gay ni eunuch , na nimekuambia waliobadilisha hiyo aya wakaweka eunuch hawakufikiri kuwa eunuch hawezi kuingia kwenye congregation of God. Deut,23.1

USIJARIBU KUKIMBIA HOJA KWA KULETA TOPIC NYENGINE
 
Sikimbii hoja niambie familia ya issah wa kwenye quran kuanzia mke wake na watoto wake na unilyeshe na hio aya
Mbona swali rahisi sana
 
Sikimbii hoja niambie familia ya issah wa kwenye quran kuanzia mke wake na watoto wake na unilyeshe na hio aya
Mbona swali rahisi sana

Tunaongelea eunuch kuingia ufalme wa mungu , hakuna mahali yesu alifanywa eunuch kwa kutolewa pumb zake au dhakari yake kukatwa kama iko aya ilete.

kwa hivyo hujaleta ushahidi wa uongo wa hii aya

Tunaongelea eunuch kuingia ufalme wa mungu , hakuna mahali yesu alifanywa eunuch kwa kutolewa pumb zake au dhakari yake kukatwa kama iko aya ilete.

kwa hivyo hujaleta ushahidi wa uongo wa hii aya

wewe ni mjinga naweza kusema hivyo
Mjinga anapenda kujifariji kwa mambo ya uongo na ambayo hayapo
Kwa hiyo wewe endelea kujifariji ila hiko kitu unacholazimisha hakipo
 
familia ya isah ndiyo ilisema eunuch anaingia kwenye congregation of God ??
NImekuambia Yesu kuna mambo ya torati mengi tu ameyabadilisha na hayatumiki leo hutaki kuelewa na kwasisi wakristo Yesu ni Mungu

Kakariri quran mambo ya biblia wewe kama muislamu hayakuongezei chochote maswala ya God congresion wewe muislamu inakuongezea nini
 
Soma tena labda kiswahili kimeanza kukupiga chenga

Usnirudishe kwenye hadithi Za yesu eunuck Kama vile ilimtoa wewe pumbu na dhakar

tafsiri ya eunuch ni hii hapa ,

A eunuch is a boy or man who has been castrated, meaning his testicles or external genitals were removed or destroyed. [1, 2, 3]

Sorry mimi siongelei jino kwa jino, wala mambo ya kuzini. Hayo yote Bwana Yesu alisema
Mathayo 5:17-18 (Swahili Union Version):

17 Msidhani ya kuwa nilikuja kuitangua Torati au Manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.

Sasa kama mbingu zimeshatoweka au nchi zimeondoka hapo ningalikubali maelezo yako lakini , mpaka sasa hazijaondoka na yesu yesu ameshasema sheria ziko pale pale hata nkta haitoondoka.

kwa hivyo usijaribu kumhalalisha eunuch kumuingiza katika ufalme wa Mung. Haingii au labda lete aya aliingizwa na Yesu mwenyewe.

Sorry charlie Deut.23:1 iko pale pale

The Darby Translation

1 He that is a eunuch, whether he have been crushed or cut, shall not come into the congregation of Jehovah.
 
Werudia hata mara trillion hakuna utakachobadilisha kwa hiyo endelea kuipost hiyo sms yako ya uongo usichoke
 
China wanapunguza idadi ya misikiti sio kwamba wanavunja misikiti kichuki kama India.
Shida ya hawa jamaa ni mizigo katika dunia maana muda wote wanawaza ngono, kuzaliana, vita na kujenga misikiti.

Kuna nchi 54 za kiislamu lakini hakuna hata mmoja ambayo inatengeneza hata battery za simu ila muda mwingi wanatumia misikitini, kushambulia dini zingine, wao ndiyo wachinje, wao ndiyo wapewe kipaumbele.

Zanzibar isingekuwa ya kiislamu kwa maendeleo ingekuwa sawa na Dar es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…