kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,364
- 1,482
Najaribu kuwaza tu, unaweza kugharimu shilingi Ngapi kuanzisha...vijiji vya incubation center kwa ajili ya vijana ambao pale watajifunza mambo kadha wakadha..km vile Technolojia za kisasa...Kilimo, viwanda...mafunzo ya Vocational training km VETA, Uchimbaji wa madini, uchakataji wa Vito, bihashara za kimataifa, mitandaoni...Ushonaji wa Nguo, kutengeneza viatu..
Mechanical...kuchonga vipuli vya magari na viwandani na mambo mengi ambayo yapo current kulingana na huitaji ..lkn mwisho wa siku Serikali kutoa ruzuku kwa wahitimu kufungua Mashamba makubwa, viwanda vikubwa and then mapinduzi ya kifikra yakafanikiwa.
Tunao uwezo mkubwa sana wa kulingana na nchi za Ulimwengu wa pili km si wakwanza km tukiamka kutoka usingizini .
Laiti ningekutana na Waziri Joel Nanauka....tungekesha kidogo.
Big up masoud kipanya.