Najiulizaga sana kwanini madaktari na manesi wazungu hawavai gloves wakikupima

Najiulizaga sana kwanini madaktari na manesi wazungu hawavai gloves wakikupima

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa

Juzi nilikuwa na appointment ya kupimwa na kupewa chanjo ya Hepatitis A and B kwasababu nina ka partime kusafisha hospital flan.

Nilienda hospital mchafumchafu na Jasho kwasababu nilikuwa natokea kazi nyingine. Nilikuwa na hofu halafu daktari mwenyewe kasister du.

Cha kustaajabisha alikuwa mcheshi sana story story na kunihoji kama na matatizo mengine ya Afya. Akachukua vipimo vya damu na kunipa chanjo.

Akaniuliza chanjo gani nishapewa bongo nikamuambia sikumbuki. Nikamchekesha kwa kumuambia iyo alama hapo begani Inaitwa Tanzania Mark Cheka sana dada ya watu.

Akanipa chanjo ya Hepatitis A and B wala hakuvaa gloves. Na siyo yeye tu yani wote. Usipowajua Utadhan wanakupenda yani wamefall in love na wewe kumbe ni ethics za kazi na wanajali na kupenda.

Sasa kuja hapa Bongo yani kupimwa maleria tu Utadhan watu wako kwenye nuclear reactor plant ama ebola danger zone
 
Kuna Kanuni na Taratibu za kuhudumia mgonjwa, ambazo zimewekwa ili kumlinda mgonjwa na mtoa huduma, ili wote wawe salama - waepuke kusambaziana magonjwa.

Huyo Mzungu ambaye hakufuata taratibu hizo unapaswa umshangae, umhurumie na umkanye. Hapo anahatarisha afya yako, yake na ya wagonjwa aliowahudumia baada yako.

Hapo kama alihudumia mgonjwa wa ugonjwa unaoambukizwa kwa migusano, huenda (au angeweza) alikuambukiza.

Badala ya kufurahia na kumsifia (Kwasababu ni Mzungu pengine), ulipaswa umhurumie na uwapongeze wale wanaofuata hizo Sheria na Kanuni.

Uwe na wakati mwema Mkuu.
 
What a pathetic Question,
Emancipate yourself from mental slavery.
 
Kuna Kanuni na Taratibu za kuhudumia mgonjwa, ambazo zimewekwa ili kumlinda mgonjwa na mtoa huduma, ili wote wawe salama - waepuke kusambaziana magonjwa.

Huyo Mzungu ambaye hakufuata taratibu hizo unapaswa umshangae, umhurumie na umkanye. Hapo anahatarisha afya yako, yake na ya wagonjwa aliowahudumia baada yako.

Hapo kama alihudumia mgonjwa wa ugonjwa unaoambukizwa kwa migusano, huenda (au angeweza) alikuambukiza.

Badala ya kufurahia na kumsifia (Kwasababu ni Mzungu pengine), ulipaswa umhurumie na uwapongeze wale wanaofuata hizo Sheria na Kanuni.

Uwe na wakati mwema Mkuu.
Wabongo bana
 
hawavai gloves mara zote. Halafu hawajakariri kama nyinyi wamesoma na kuelewa
 
Nimecheka sana dah....hahahaha ukiingia kichwa kichw utazan nurse kakuzimikia ..hahaha BBM
 
Tatizo watu hatuelewi kwanini wahudumu wanavaa protective gears ikiwemo gloves kwa akili ya haraka tunafikiri wanajikinga wao lkn lengo kuu ni kumkinga Mgonjwa unayemhudumia zaidi!ndio maana unatakiwa unawe mikono kabla ya kumgusa client au Mgonjwa pia uvae 🧤 safi kwa clean procedure na Sterile glove kwa Sterile procedure,muhudumu wa afya anaenawa mikono na kuvaa gloves kabla ya kukuhudumia Mpende na mheshimu amekulinda na mengi maana hakuna sehemu mbaya na yenye maambukizi kama Hospital na hujui ktk pita yake ameshika wapi ambapo wagonjwa pia wanashika unaweza ukaja kwa vaccination ukatoka na skin infection,Mind you ukute huyo aliyekuhudumia bila glove aliku nyanyapaa kulingana color ya ngozi yako peleleza km wengine (whites)anawafanyia hivyo.
 
Skin is the major defence mechanism , if there is no cut on your hands or fingers you are safe to touch anyone as far as you wash your hands before and after touching the person, the reason being to protect the person and protect yourself. Skin to skin touch can bring a sense of humanity.
 
Back
Top Bottom