Najiulizaga swali hili

Najiulizaga swali hili

Ni wewe jinsi unavyojiona ndani mwako. Ni ishara ya utoshelevu wa ndani pia yawezekana ni ukomavu mkubwa lakini pia malezi. Umelelewa kwenye typical Swahili culture iliyojaa mzaha na mchangamano mkubwa na watu tangu utoto? Ni tabia za extroverts watu wasiojiangalia sana na wenye michangamano mikubwa na watu. Umezoea utani kutania na kutaniwa. Kwa ujumla hii ni personality nzuri sana inakupa urahisi wa kuishi na watu na kuwatawala pia kuwa na amani na watu hata kupendwa pia. Watu wa jinsi hii huonekana wenye bahati, huwa na marafiki wengi na huweza kuwa viongozi bila kuchoshwa au kuudhiwa na maoni anuai ya watu. Hongera kama upo hapo ila kuwa mwangalifu usiwe easygoing na insensitive kwa masuala ya msingi.

Kwa sehemu kûbwa umepatia. Ila kipengele cha Malezi Hapo nimelelewa kwèñye familia ya kisabato kikamilifu. Mizaha, matani, masikhara, ushabiki NI mambo àmbayo hayakuwepo.

Mimi ni introvert na mûda mwingine NI Extrovert.

Mimi tangu nikiwa Mtoto sijui Kwa nini siumizwi na maonî ya Watu Wengine kunihusu Mimi.

Kwa mfano, Mimi siwezi kuchukia Waislam Kwa sababu Mimi NI Mkristo ingawaje nililelewa kwèñye mazîngira ya kuchukia Watu wa Dini zingine.

Au darasani Mtu akiwa Mpiga kelele Wengine wakiwa wanamchukia Mimi huwaga sihisi hivyo Moyoni.
 
Mkuu hayo ni mamb yakidunia,binadam hatufanan japo wte tumeumbwa ila ishi katik njia ipasayo na vile ulivyo usijibase kwkujion labda upo sahih.binadam hatujakamilika

NI kwèli
Kîla Mtu yupo Sahihi Kwa namna Yake. Kîla Mtu NI Bora Kwa namna Yake.

Ila mbora zaidi NI Yule atendaye Wema Kwa Wengine na kujitendea wema
 
Sijakuuliza jinsi tunavyojitambulisha.

Nimekuuliza....

Ni nani amekudanganya kwamba wazungu hawaumii na maoni ya Waafrika?
Nimekujibu most ya wazungu niliokutana nao hawaumizwi na maonî yetu Kwao.
Mifano Ipo mingi.

Ama wewe ndiye unataka kutudanganya hapa?
Kwa faîda ya Nani?
Unasema wazungu hawaumii. Na tafsiri yake kuwa hawana Emotions? Watibeli?
Kuwa ma emotions haimaanishi kwamba ndîo MTU ataumizwa na maonî ya Wengine.
Maumivu ya Moyo yanasababu Zake. Sababu kûbwa ni kutaka kuzingatiwa, kujaliwa, kuwapa Watu Nafasi ya kukufurahisha na kukupa furaha. Wasipofanya hivyo ndîo Mtu Huona ameumia.

Mfano, umempa Mtu zawadi ukitegemea atakushukuru lakini asifanye hivyo lazima uumie.
Lakini Sisi Wengine kinachotufurahisha NI kitendo cha Kutoa na siô kungoja return ndîo íwe furaha kwetu.

Mfano, umefanya vizuri alafu unàtaka Watu wakufurahie, au wakupongeze. Sisi Wengine kufanya kile kizuri ndîo furaha yetu na Wala hatutegemei matokeo ya kizuri tulichofanya.


Mimi pale nimekujibu baàda ya kuniambia Kwa nini tunawachukulia vibaya waafrika ndîo nikakujibu hivyo.
 
Inategemea na mazingira na malezi ...Kuna mtu hata umwambie lipi Yuko positive ila kuna mwingine mtagombana,kwa hio hata ukiongea na watu jifunze kubadilika kulingana na mazingira na hali
 
Mimi sionagi shida mtu akiniita Mjinga, akiniona hamnazo, akiniita hata majina ya namna yoyote Ile. Kwangu sioni shida.
Yaani Maoni ya mtu mwingine au mitazamo ya mtu mwingine kunihusu Mimi sijajua kwa NINI hainiumizi...

Huyu ni mimi kabisa. Huwa nashangaaa wengine kuumizwa na kusemwa au kuambiwa mapungufu yao. Kitu pekee ambacho kinaweza kunistua ni maneno ya kudhuru uchumi wangu au afya.

Huwa ninaamini kama anayenisema yupo sahihi, i have to change, kama hayupo sahihi ninatakiwa kupuuza
 
Kwema Wakuu!

Kuna mambo yananishangazaga sana. Mpaka wakati mwingine najiuliza kwa NINI ipo hivyo.

Mimi ninatabia sijui niite ya ajabu au ya namna gani. Iko hivi;

Mimi sionagi shida mtu akiniita Mjinga, akiniona hamnazo, akiniita hata majina ya namna yoyote Ile. Kwangu sioni shida.
Yaani Maoni ya mtu mwingine au mitazamo ya mtu mwingine kunihusu Mimi sijajua kwa NINI hainiumizi.

Ila Mimi nikitoa maoni yangu kwa watu wengi. Yaani vile ninavyowaona au hata nikiwatania wengi huumia, huona kama ninawadharau, yaani ni kwamba wanajali.
Huwaga najiuliza kwa nini watu hujali na kuumizwa na maoni ya watu wengine.

Yaani mfano Mimi nikuone huna Akili Ati na wewe unaumia ILHALI unajijua unaakili. Hiyo inasababishwa na nini?

Mbona Mimi siumii?
Tabia yangu hiyo ilinifanya nisiwe na majina ya utani. Ila majina ninayojipa ndio yanashika na watu huyatumia.

Lakini pia ninakitu sijui ni karama, nikimtamkia mtu jina mtaani linashika na watu wanalitumia kumuita mtu kwa jina hilo. Hiyo inasababishwa na nini?

Karibuni wakulungwa
Tutajuaje kuwa haumizwi?
 
Mtu positive automatically lazima awe flexible kuendana na mazîngira
Sikupingi ila Kuna vitu kama hali mfano unaweza wasilisha jambo kiutani tu ila kwasababu umegusa familia ambapo alifiwa au aliachwa ni kama unamrudisha nyuma so kuchukiwa ni nje,ila yote ni tisa Hujazaliwa kupendeza kila mtu na unapokosolewa ndio unajijenga zaidi kuliko kusifiwa sifiwa
 
Sio wewe hata mimi nimeshindwa kuyaishi mawazo yawatu wanavyo nifikiria.
Sijajua matusi yana muumiza vipi mtu! Lakini baada yakufanya uchunguzi nilibaini kwamba 99% ya binadamu huishi ndani ya mawazo yawatu.
Mawazo hayo baadhi huungana nakua utamaduni au mtazamo wa jamii husika.
Hivyo mtu hujitahidi kuendana naule mtazamo tuu ila kiuhalisia vitu hivyo havipo na havina athari yoyote zaidi ya mchezo wa akili hapo.
 
Sikupingi ila Kuna vitu kama hali mfano unaweza wasilisha jambo kiutani tu ila kwasababu umegusa familia ambapo alifiwa au aliachwa ni kama unamrudisha nyuma so kuchukiwa ni nje,ila yote ni tisa Hujazaliwa kupendeza kila mtu na unapokosolewa ndio unajijenga zaidi kuliko kusifiwa sifiwa

Mimi Mtu anapotoa maoni yake Bila kujali yapoje inanirahisishia Mimi kum-categorize kwenye kundi àmbalo linaendana na maonî yake.

Hivyo nitamchukulia Kwa jinsi nilivyom-categorize.

Mfano, Mtu akiwa mwehu au anaafya ya Àkili akatoa maonî yake labda kunisema vibaya Kwa tukio la msiba siwezi mchukulia serious Kwa sababu najua Akili Zake hazipo Sawa na nitakuwa nimefanya Makosa kumchukulia kama anautimamu wa Akili ilhali mwenye Akili hawezi kuzungumza alichozungumza.

Classification inasaidia kupunguza kama siô kuondoa Hisia za maumivu Moyoni. Hii NI Kwa wale watakaojifunza kutoumizwa na maonî ya Watu Wengine.

Mfano, mlevi aliyelewa Huwezi mchukulia kama Mtu aliyetimamu.
Mtu asiye na uelewa WA Jambo Fulani lakini akawa anatoa maonî kuhusu Jambo Hilo asilolielewa Huwezi mchukulia serious. Hapo mwenye matatizo itakuwa NI wewe.

Mtoto mdogo anapoongea mambo labda kumlaumu Baba au Mama au Mzazi wake kuhusu labda kushindwa kumhudumia itakuwa NI ajabu Mzazi akaumia Kisa maneno ya mtoto ilhali anajua Kabisa Mtoto anaongea Jambo ambalo Hana uelewa nalo.
 
Sio wewe hata mimi nimeshindwa kuyaishi mawazo yawatu wanavyo nifikiria.
Sijajua matusi yana muumiza vipi mtu! Lakini baada yakufanya uchunguzi nilibaini kwamba 99% ya binadamu huishi ndani ya mawazo yawatu.
Mawazo hayo baadhi huungana nakua utamaduni au mtazamo wa jamii husika.
Hivyo mtu hujitahidi kuendana naule mtazamo tuu ila kiuhalisia vitu hivyo havipo na havina athari yoyote zaidi ya mchezo wa akili hapo.

Upo Sahihi Kabisa.
Nafikiri Wewe umeeleza Kwa mapana na marefu.

Kuishi na Mtu kama wewe NI rahisi Sana. Hata waliochini yako au wanaokuzunguka wanakuona kama Mtu simple usiyetaka mambo mengi.
 
Lakini pia ninakitu sijui ni karama, nikimtamkia mtu jina mtaani linashika na watu wanalitumia kumuita mtu kwa jina hilo. Hiyo inasababishwa na nini?
Kule juu nyinyi ndio wanawaita king makers mnaotumwa kuwapaka watu mafuta wawe wafalme, muite mtu tajiri mkazanie hivyo hivyo halafu mpe mawazo ya kitajiri within few years utakua umetengenezewa matajiri wengi sana
 

Naona una ruka ruka uzi utambae . Sawa

Unatuambia wewe R ewe una hulka za kizungu?

Kwamba wazungu hawaumii na wewe pia huumii, yaani hufanani na Waafrika😂😂😂😂😂



....
 
Back
Top Bottom