Najivunia kuwa member mdogo zaidi JF

Najivunia kuwa member mdogo zaidi JF

Janma

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
423
Reaction score
407
Habari zenu,

Tangu najiunga JF miaka miwili nyuma nimekua nikiona tabia ya baadhi ya member humu wakiwa na tabia ya kubeza wenzao kwamba ni watoto ama ni wadogo na wengi wamekua wakipata gadhabu wanapoambiwa ni wadogo

Ila kwangu acha iwe hivi

Nimejiunga JF nikiwa na miaka 15

Hapo nikiwa form 3

Nafikiri mimi ndio member mdogo kuwahi kujiunga JamiiForums
 
Mkubwa hivyo nakumbuka wakati najiunga JF nilikua na 2 and half years
 
82501abe65d01f6da639f280ac783d05.jpg
 
Watu watakubeza kutegemea na michango yako unayotoa, unatoa koment yenye pumba tupu, lazima member waanze kujaji umri wako, wasije kukutwisha mzigo usio stahili.ila kama unaogopa kubezwa ni heri ukaa kimya na sio kukoment koment kila siredi inayoanzishwa. Kuwa mpenzi msomaji tu.
 
Form 4 ulifaulu?

Alafu kubedha ndio nini?
 
Watu watakubeza kutegemea na michango yako unayotoa,unatoa koment yenye pumba tupu,lazima member waanze kujaji umri wako,wasije kukutwisha mzigo usio stahili.
sijui kama nmewahi toa comment pumba humu
 
Back
Top Bottom