Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Inasaidia nini sasa?
Wakati unajiunga, ulikuwa una leseni ya kuendesha gari? 😀😀😀Nimejiunga JF nikiwa na miaka 15. Nafikiri mimi ndo member mdogo kuwahi kujiunga JamiiForums
ktambo i think hakunihusu
Hii thread yenyewe uliyoiandika ni pumba totosijui kama nmewahi toa comment pumba humu
Amekuwa thupastaa wa jeiefuImekusaidia nini mpaka sasa?? (mafanikio)