Watu watakubeza kutegemea na michango yako unayotoa, unatoa koment yenye pumba tupu, lazima member waanze kujaji umri wako, wasije kukutwisha mzigo usio stahili.ila kama unaogopa kubezwa ni heri ukaa kimya na sio kukoment koment kila siredi inayoanzishwa. Kuwa mpenzi msomaji tu.