Najivunia kuwa member mdogo zaidi JF

mbona kama mtoto mwenzangu wewe ni nini hiki umeandika
Ni kwa sababu ya utoto, ndio maana haufuatilii analogies. Juzi hakimu kamuuliza Lulu swali hilo mahakamani baada ya kusikia kuwa baada ya kugombana na Kanumba, alitoka nje na kuendesha gari.
NB: Kuna mtego wa umri na umiliki wa leseni hapo
 
naelewa sana ndo mana haikwenda jukwaa la jokes
 
Mkuu mbona umejiunga mzee hivyo.

Record yako nimeivunja mwaka huu maana na miaka 13.

Nasubiri mwingine aje kuvunja
 
Ndo maana wakati mwingine tunauliza maswali au kujibiwa Yale tusioyategemea, asante sana umeniandaa kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…