Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa sababu ya utoto, ndio maana haufuatilii analogies. Juzi hakimu kamuuliza Lulu swali hilo mahakamani baada ya kusikia kuwa baada ya kugombana na Kanumba, alitoka nje na kuendesha gari.mbona kama mtoto mwenzangu wewe ni nini hiki umeandika
naelewa sana ndo mana haikwenda jukwaa la jokesNi kwa sababu ya utoto, ndio maana haufuatilii analogies. Juzi hakimu kamuuliza Lulu swali hilo mahakamani baada ya kusikia kuwa baada ya kugombana na Kanumba, alitoka nje na kuendesha gari.
NB: Kuna mtego wa umri na umiliki wa leseni hapo
Kumbe ulisimamisha miaka yako!!!!Wala wewe sio mdogo, mie niko 14
Mkubwa hivyo nakumbuka wakati najiunga JF nilikua na 2 and half years
Hahahahaha kako form 5toto hujambo?
Huku nlipo sii mchezoKumbe ulisimamisha miaka yako!!!!
MmmhhhhhHuku nlipo sii mchezo
Okay boy.. Ukikua man then tutakualika ligi kubwaam boy joh
Hahahaha kakimbia darasani huyuWenzako wanajiandaa na pepa sahivi we uko unajitambulisha JF, kasome pumbaf[emoji53]
Mmmh...Amekuwa thupastaa wa jeiefu