sasa tuone kama nitapita tena njia ile.
Nakutakia kila laheri Mungu akutangulie :thumbup::thumbup::thumbup:
hana utelezi huyo atasubiri sana fenesi chini ya mpera source:Madame B
Teh teh teh!atafutaye hachoki,akichoka kapata!hana utelezi huyo atasubiri sana fenesi chini ya mpera source:Madame B
Chocs kamba tu hizo anamfunga Ben Saanane hamna chapenzi wala nini, ni kumchuna tu kwa kwenda mbele.Kweli penzi limekukolea mtoto wa kike husikii huambiwi,ndo ushabwaga manyanga.
hahahha mnamkatisha tamaa mno.