Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda hakupendeka na kutumia njia ya kistaarabu kumuacha kwa majonzi, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa penzi la dhati

Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.

Kwa tuliyopanga weekend naamini Mola atatutangulia,sauti yako tamu masikioni mwangu bado yajirudia rudia.

Wikiendi ndiyo imeisha, majukumu hatunabudi kuyatimiza dear, kuwa nawe muda mrefu
nimefurahia nakujihisi mfalme katika hii dunia kuwa nawe najivunia. Luv u


Madame B,Do not think for one second you are alone, for two hearts and souls joined together in friendship, for this life and in many past lives, forges an unbreakable bond that only grows stronger in time.
My love for you knows no limits. It is timeless, spaceless, formless, unshakable and un breakable.Ilove you Madame B

CC: Madame B-Future First Lady(kiboko ya magamba kule siasani)

CC: Kwa wale waume zake wa zamani
CC:Kwa mashemeji
CC:Kwa wale wote wanaomtolea mimacho
CC;Kwa wale wote wanaomuhonga bila kuambulia kitu madame B kula kama vijana wanavyokula za CCM lakini kura CHADEMA.View attachment 92669

NB: Ben Saanane wa Chit chat anabakia humu humu na wanachama kampani yake.
Ooh kijana kumbe alishapatiwa kisamvu cha kopo na yeye
 
Shemeji, Pole sanaa. Kwani fununu ulizonazo ni kipi kilimkuta kaka yetu?
G.T.L, asante sana.
Dah! Unajua mie siwezi sema lolote juu yake.
Ila kilichotokea nadhani wote mlikiona japo hakina ushahidi.
Inauma sana
 
Back
Top Bottom