Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Uzuri gap lake nimeliziba sawia..Asante, nilishapoa.
Maana nililia na kulia ila ndio hivo siwezi kujua hatma.
Kama yuko salama nina imani atarudi!
R.i.p mume mwezangu b saa8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri gap lake nimeliziba sawia..Asante, nilishapoa.
Maana nililia na kulia ila ndio hivo siwezi kujua hatma.
Kama yuko salama nina imani atarudi!
Jamani.Ndio
Mbona kasema Yuko single?Uzuri gap lake nimeliziba sawia..
R.i.p mume mwezangu b saa8
Ooh kijana kumbe alishapatiwa kisamvu cha kopo na yeyeNajua una majonzi kwa kuwa uliyempenda hakupendeka na kutumia njia ya kistaarabu kumuacha kwa majonzi, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa penzi la dhati
Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.
Kwa tuliyopanga weekend naamini Mola atatutangulia,sauti yako tamu masikioni mwangu bado yajirudia rudia.
Wikiendi ndiyo imeisha, majukumu hatunabudi kuyatimiza dear, kuwa nawe muda mrefu
nimefurahia nakujihisi mfalme katika hii dunia kuwa nawe najivunia. Luv u
Madame B,Do not think for one second you are alone, for two hearts and souls joined together in friendship, for this life and in many past lives, forges an unbreakable bond that only grows stronger in time.
My love for you knows no limits. It is timeless, spaceless, formless, unshakable and un breakable.Ilove you Madame B
CC: Madame B-Future First Lady(kiboko ya magamba kule siasani)
CC: Kwa wale waume zake wa zamani
CC:Kwa mashemeji
CC:Kwa wale wote wanaomtolea mimacho
CC;Kwa wale wote wanaomuhonga bila kuambulia kitu madame B kula kama vijana wanavyokula za CCM lakini kura CHADEMA.View attachment 92669
NB: Ben Saanane wa Chit chat anabakia humu humu na wanachama kampani yake.
Shemeji, Pole sanaa. Kwani fununu ulizonazo ni kipi kilimkuta kaka yetu?Ndio hivo.
Ila sichoki kumsubiri.
Haya bhanaUzuri gap lake nimeliziba sawia..
R.i.p mume mwezangu b saa8
Haya bhanaJamani.
Yeah!!damu ya mtu haipotei bure.italipwa tu.
Asante, ebu njoo PM 😋Shikamoo mate
[emoji120][emoji120]Asante cocastic, nimeshapoa mwaya
🥰🥰🥰Watu kwa kufukua makaburi…
All in all shogaa, nimekukosa sana!