Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda hakupendeka na kutumia njia ya kistaarabu kumuacha kwa majonzi, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa penzi la dhati

Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.

Kwa tuliyopanga weekend naamini Mola atatutangulia,sauti yako tamu masikioni mwangu bado yajirudia rudia.

Wikiendi ndiyo imeisha, majukumu hatunabudi kuyatimiza dear, kuwa nawe muda mrefu
nimefurahia nakujihisi mfalme katika hii dunia kuwa nawe najivunia. Luv u

Madame B,Do not think for one second you are alone, for two hearts and souls joined together in friendship, for this life and in many past lives, forges an unbreakable bond that only grows stronger in time.
My love for you knows no limits. It is timeless, spaceless, formless, unshakable and un breakable.Ilove you Madame B

CC: Madame B-Future First Lady(kiboko ya magamba kule siasani)

CC: Kwa wale waume zake wa zamani
CC:Kwa mashemeji
CC:Kwa wale wote wanaomtolea mimacho
CC;Kwa wale wote wanaomuhonga bila kuambulia kitu madame B kula kama vijana wanavyokula za CCM lakini kura CHADEMA.View attachment 92669

NB: Ben Saanane wa Chit chat anabakia humu humu na wanachama kampani yake.
Kila la kheri!
 
😂😂
Ujane unachosha, we acha tu.
Mhhh!!....wanasiasa tena, hapana!!
Bora nidili na hawa wa uraiani tu.
Madame B kumbe una historia ya kuhuzunisha namna hii? Pokea pole za dhati kutoka kwangu. Ulisoma kitabu cha Kabendera? Alisema kuwa yule mwovu alimuua mwenyewe kwa mkono wake tena ndani ya ikulu. Kusema kweli naona hata mods wangeweka abbrez a RIP kwenye profile yake tu kwa sababu ni ukweli usiopingika kuwa hatunaye tena. Once again, pole sana. Hivi ilikuwa ni utani wa JF wa members kutaniana tu au mlikuwa mnajuana kwa kuonana?
 
Huwa wanasema ni vitu viwili tu ambavyo huwa vinamfanya mwanamume aendelee kuwa hai, maneno atakayo yaandika(zamani vitabuni ila siku hizi hata kwenye social media) na watoto alio zaa.

Hizi nyuzi za huyu ndugu yetu, kama kweli atakua alishatangulia mbele za haki basi zitaendelea kumfanya aendelee kuishi daima.
 
Madame B kumbe una historia ya kuhuzunisha namna hii? Pokea pole za dhati kutoka kwangu. Ulisoma kitabu cha Kabendera? Alisema kuwa yule mwovu alimuua mwenyewe kwa mkono wake tena ndani ya ikulu. Kusema kweli naona hata mods wangeweka abbrez a RIP kwenye profile yake tu kwa sababu ni ukweli usiopingika kuwa hatunaye tena. Once again, pole sana. Hivi ilikuwa ni utani wa JF wa members kutaniana tu au mlikuwa mnajuana kwa kuonana?
Asante sana macho_mdiliko mkuu.
Kitabu cha Kabendera kuna mtu alinitumia kwa njia ya PDF ili nisome kupata ukweli, ila sikudili nacho kwa maana sikutaka kujua na kujikumbushia machungu.
Ninacho!!!
Na sidhani kama wataweza weka RIP maana sheria za Jf ni mpaka uongozi uthibitishe na awepo mtu aliyeshuhudia mwili wa marehemu, hvo bado kuna ukakasi. Maandiko sio hitimisho la kusema amefariki, maana hakuna aliyethibitisha kuuona mwili.

Ben alikuwa mtu wangu na rafiki yangu.
Kuna mengine siwezi weka hapa maana sheria za Jf haziniruhusu.
 
Ila Ben nae bna kwanini alichagua vita binafsi na Yule mtu?
Hakuona upepo?
 
Back
Top Bottom