The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Hivi Bishanga mpaka leo hajaonekana
Aise tupige tarumbeta na ngoma na filimbi tumuite
Au amehamia nyumba ndogo gani hiyo ambayo amerowekewa nguo zake
yani nimeachwa juu ya paa
Blaki Womani mi ni msemaji tuu ila si mtetekelezaji na my wife wangu anajua hilo
Upo dear unaendeleaje na vumbi letu na mgao wa umeme Arachuga maana mwendo wa vibatari unatuhusu sana
too sad! kama vipi tafuta mwingine tu shem..
nakuhurumia ulivyonyong'onyea!!
Itanibidi kwa kweliSi tulikuambia uje Arachuga uje ule mtura ukakataa ona sasa unavyopata shida
Akina Arushaone na Erickb52 wako kukupa company ya nguvu na akina Preta na Blaki Womani pia
eehhh ndivyo unavyodanganya akisoma katikati ya mstari anagundua sema hataki BP/sheli
nipo yaani acha kabisa huu mgao unaumiza sana laiti Muhongo angelijua vibatari vinaumiza pua
:faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:mis u! ujue..wala hufanyi vyema ku mute kiasi hicho!
Karibu sana The secretary achana na kiwatengu anakutisha tuu
Lady doctor hanitishi hata chembe halafu leo kanywa gongo nyingi kinomaArusha mmh! hata siku shauri uende huko..
kuna kina Lady doctor
Kwani yeye ana shida nyumbani kwake si kuna generator la tanesco liko pale linawaka 24hrs
pia line yake hata hivyo haikatwi maana anakaa mtaa wa wenye nazo shida ni kwa sisi watumia vibatari
Si umewasikia wameongeza bei za umeme ili ukishindwa chako kitakuwa kibatari maisha yako yote uugue vifua na TB sawa sawa
yani nimeachwa juu ya paa