Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

Samahani kama nitawakwaza.

Huwa siamini kama wanawake wana akili. Wanategemea akili za wanaume ktk kuendesha mambo yao.

Ndio maana wanasema wakiwezeshwa wanaweza.
 
Kupata mke mwenye akili na mwenye kujiheshimu ni jambo la kumshukuru MUNGU!!

Ninafurahia sana kuwa na mke mwenye busara, kujiheshimu kwingi na akili za kutosha!

Kipimo cha haya yote ni jinsi anavyozikabili changamoto za kimaisha na kupambanua mambo kwa utashi mkubwa!

Go on honey! Just Go on!! your Man(me) loves you so much!!

Wenye wake zenu humu..
Mnajivunia nini kwa wake zenu?

kina watu8 Judgement Arushaone, figganigga Filipo Erickb52 Kaizer Mr Rocky Mwanyasi mshana jr....

Na wanaume wengine...
whats up with ur wives?

CC: kwa ba mkwe Asprin

Asante mpenzi kwakuona umuhimu wangu na thamani yangu sina mengi yakueleza zaidi ya kusema asante kwa kunipenda kiwatengu your the best lover ever
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom