wife wife! umetoka kwa Mungu wewe!
Kupata mke mwenye akili na mwenye kujiheshimu ni jambo la kumshukuru MUNGU!!
Ninafurahia sana kuwa na mke mwenye busara, kujiheshimu kwingi na akili za kutosha!
Kipimo cha haya yote ni jinsi anavyozikabili changamoto za kimaisha na kupambanua mambo kwa utashi mkubwa!
Go on honey! Just Go on!! your Man(me) loves you so much!!
Wenye wake zenu humu..
Mnajivunia nini kwa wake zenu?
kina watu8 Judgement Arushaone, figganigga Filipo Erickb52 Kaizer Mr Rocky Mwanyasi mshana jr....
Na wanaume wengine...
whats up with ur wives?
CC: kwa ba mkwe Asprin
inategemea na type ya huyo mke wengine stress kila siku
yah yah! nadhani hata wewe ni chema kwa jamaa yangu
wives???
mpira pasi mkuu, lete pasi hizo kama Xavi Iniestawako wengi tu! ngoja nianze na donlucchese hebu mcheki huyu. analipa?
hahah mimi mkuu sina shida aje tu kununua hisa!ha ha ha! mkuu naona brenda18 kaonyesha interest zake
hello my swty wife. how are you?
Watu na bahati zao wanaopata waume wanaosikia fahari kuwa nao...wengine mpaka wapoteze walionao ndio wanajua walipoteza dhahabu