Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

Hongera. Ungeuliza na sie tunajivunia nini kwa kaka zako.
 
Kupata mke mwenye akili na mwenye kujiheshimu ni jambo la kumshukuru MUNGU!!

Ninafurahia sana kuwa na mke mwenye busara, kujiheshimu kwingi na akili za kutosha!

Kipimo cha haya yote ni jinsi anavyozikabili changamoto za kimaisha na kupambanua mambo kwa utashi mkubwa!

Go on honey! Just Go on!! your Man(me) loves you so much!!

Wenye wake zenu humu..
Mnajivunia nini kwa wake zenu?

kina watu8 Judgement Arushaone, figganigga Filipo Erickb52 Kaizer Mr Rocky Mwanyasi mshana jr....

Na wanaume wengine...
whats up with ur wives?

CC: kwa ba mkwe Asprin

wives???
 
Last edited by a moderator:
Watu na bahati zao wanaopata waume wanaosikia fahari kuwa nao...wengine mpaka wapoteze walionao ndio wanajua walipoteza dhahabu
 
Hao waivyo unawatizama tu kikimnukia unamwambia "ninge " hairuhusiwi.
 
kiwatengu I wish ujumbe huu ungemfikia na mhusika lolz
 
Last edited by a moderator:
Kupata mke mwenye akili na mwenye kujiheshimu ni jambo la kumshukuru MUNGU!!

Ninafurahia sana kuwa na mke mwenye busara, kujiheshimu kwingi na akili za kutosha!

Kipimo cha haya yote ni jinsi anavyozikabili changamoto za kimaisha na kupambanua mambo kwa utashi mkubwa!

Go on honey! Just Go on!! your Man(me) loves you so much!!

Wenye wake zenu humu..
Mnajivunia nini kwa wake zenu?

kina watu8 Judgement Arushaone, figganigga Filipo Erickb52 Kaizer Mr Rocky Mwanyasi mshana jr....

Na wanaume wengine...
whats up with ur wives?

CC: kwa ba mkwe Asprin

Sasa fanya hima umalizie mahari. Njaa na kiu vinaniangamiza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom