Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 81
- 231
Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko🥺🤔🙇🏿♂Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nikawa mtu mzima. wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Hana msaada wowote ata akifa sijalNa hakuna kama huyo baba yako.
Hiyo ni sumu uliyopewa na mama yako.Hana msaada wowote ata akifa sijal
bora hata usizae kuliko uje utelekeze familiaKuna pimbi kweli, anakimbia mke na watoto anafuata michepuko lakini uzeeni anarudi akitia huruma mmelee.
Hata jina la ukoo natumia la mamaHana msaada wowote ata akifa sijal
mtafute baba ako muombe msamaha bado ujaelewa vizuliBaba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Temea chini mwanangu!Hana msaada wowote ata akifa sijal
Usihifadhii chuki moyoni.. yote mipango yake maulana.Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Haaaahaa ☺️ ndugu yangu una endeleajee tunapishana sana humu ndaniiNachojua mtoto wa nyoka ni nyoka kulkoni ukawa nawe single Maza?
Salama bruh, nipo njema kabisaHaaaahaa ☺️ ndugu yangu una endeleajee tunapishana sana humu ndanii