Najivunia sana mama yangu ambaye alikuwa Single Mother

Namna unavo wasilisha hoja, namna uvo andika maneno yako na unavotaka tuyatamke, ni dhahiri kwamba kuna moja kati ya haya mawili limepelekea kukuharibu sakili, maana umewehuka kabisa
1-uliruka stage unavobarehe.
2-bado hujamaliza kubarehe.
 
Namna unavo wasilisha hoja, namna uvo andika maneno yako na unavotaka tuyatamke, ni dhahiri kwamba kuna moja kati ya haya mawili limepelekea kukuharibu sakili, maana umewehuka kabisa
1-uliruka stage unavobarehe.
2-bado hujamaliza kubarehe.
Eroh mbona unakasirikia kijana
 
Naunga mkono hoja
 
Mama yako alikuambia sababu za baba kukimbilia kwa mchepuko?
 
Bado utoto unakusumbua, ukiwa mtu mzima utaelewa kwanini baba ako alikimbia hiyo dhahama!
 
Usimchukie baba yako kwanza humjui baba yako au kosa sio lake utakuta mama yako alifumaniwa baba yako akaona isiwe kesi akasepa
 
Pole na hongera kwa kulelewa na single mom, mtunze sana mama ako, mfute machozi, mbusu mikono yake, baraka zizidi kumiminika katika maisha yako.
 
Tunamshukuru huyo baba yako aliyekuchagulia mama bora na imara. Angezaa na mama lialia asiyewajibika huenda usingekuwa hapo. Baba ni baba bora he chose the best mother for you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…