Huyu ni yule yule bwasheeSi tulikubaliana kua kuchepuka sio kitu kibaya?
JF VAR CHECK
Kuchepuka sio kitu kibaya unaweza ukachepuka huku umeoa.mimi na mke natunapendana sana ila nje na chepuka vibaya sana.
- Nasian Ressy
- Replies: 5
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Ndio Bwashee,Huyu ni yule yule bwashee
Mr VARNdio Bwashee,
Halafu hii ni Chai,naangalia tu jinsi watu wanavyo hangaika kumpa ushauri.
Watoto wa kike mna mambo.Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
limejibuNdio Bwashee,
Halafu hii ni Chai,naangalia tu jinsi watu wanavyo hangaika kumpa ushauri.
Safi sana, siku ukiujua ukweli utarudi kuifuta hii nyuzi yakoBaba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Unaingiliaje ugomvi wa wazazi wako?Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Kamsemee kwa babaakeila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
Upo wa kwetuππππ
Baba yako anatumia id gani tumtag?Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Nimerudi wa kwetu..uko poa?.za siku?Upo wa kwetu
Nasikitika sana wana msimbazi na sajili za kina osmeni wa kuchemsha wakwetu π₯²Nimerudi wa kwetu..uko poa?.za siku?
Usijali wa kwetu trust the process...Nasikitika sana wana msimbazi na sajili za kina osmeni wa kuchemsha wakwetu π₯²
Ila ana mikimbio mizuri wa kwetuππ cc Kipenzi ChanguUsijali wa kwetu trust the process...
Nakuhakikishia u will see soon....
Ila mm jukwaani siji huko mpaka Simba awe bingwa....πππππ
Yah sure yaniii ngoja tunyamaze msimu uanze watu wataacha ndala...Ila ana mikimbio mizuri wa kwetuππ cc Kipenzi Changu
Kipenzi changu ndo nani tena? Watu naona wamebadili ID kuna watu nawatafuta siwaoni π π π πIla ana mikimbio mizuri wa kwetuππ cc Kipenzi Changu
Kipenzi chao ni mwasibu mzee wa kalukuletaπKipenzi changu ndo nani tena? Watu naona wamebadili ID kuna watu nawatafuta siwaoni π π π π