Najivunia sana mama yangu ambaye alikuwa Single Mother

Pongezi kwa mama kwa kukupambania
Ila jitahidi usimchukie atabaki kuwa baba hata kama alikua sperm donor
Mpe heshima kama baba
Kwa faida yako na watoto wako
Ukija kujaaliwa
 
Mpende mama yako lakini usimalize maneno kuhusu baba yako kumkimbia mama yako. Huenda ukiacha chuki dhidi yake na ukaamua kutaka kuelewa kilichofanya akimbie utaacha kumlaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…