tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Kwani mwenyeji ni nani.Najua tu kuna wana Simba SC watanichukia kwa hili, ila ukweli ni kwamba TFF, TPLB na Simba SC wanaionea KMC FC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mwenyeji ni nani.Najua tu kuna wana Simba SC watanichukia kwa hili, ila ukweli ni kwamba TFF, TPLB na Simba SC wanaionea KMC FC.
Natetea team Yako braza kaduguda na inabidi kwa Sasa tuwatetee na kuwasaidia kama kipindi kile mlipotaka kushuka darajaIla Simba SC inayotaka Kubebwa waziwazi na TFF pamoja na TPLB ndiyo inaweza na huko ndiko kwenye Usalama Kwake?
Simba na Yanga zimeanza kufanikiwa miaka ya 70's master hizi team zimepita mawimbi milima mabonde Giza Totoro tope zito kero fujo na Kila aina ya mateso na bado zipo
We umeziona 2000 ila jua hapa 2000 na kuja huku ambapo Mshery Kabwili na Salim wanapata namba miaka ya 80/90 Hawa hata team ya vijana wasingecheza
Ndio maana tunaenda kuazima wamagharibi na wakongo waje kutusaidia kipindi ya kina Dua Saidi ilikuwa hatari
Azam atacheza cafcc hakuna anaepambana kuwapa hiyo nafasi angetaka kucheza Cafcl angeshinda game zake na simbaSasa kama mnajua ili kufanikiwa lazima upitie mawimbi, milima, mabonde, giza, n.k kwanini unaleta akili za kuikandamiza Azam au timu nyingine wasishiriki klabu bingwa ili na wao wapitie hizo njia ngumu wajifunze na kupata uzoefu? Yaani unawaza Azam imwachie Simba au Simba ibebwe tu eti kisa Azam hatoweza kufanya vizuri klabu bingwa hizo ni mawazo na upeo wa wapi? Hata Azam anastahili kupitia hizo njia ngumu ili na wao wapate kujifunza na kupata kujua wanapokosea ili na wao wapate mafanikio kama timu zingine na wala sio eti kuifanyia figisu Azam wasishiriki klabu bingwa ndio kuisaidia.
Halafu kingine tunapozungumzia mafanikio au kukua ni hali ya muendelezo wa kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa sio kucheza fainali mwaka mmoja kisa unakuja kuibukia baada ya miaka 20 kwenye robo fainali.
Je hiyo miaka ya 70 unayosemea hivyo vilabu vya Simba na Yanga zilizokuwa zinamuendelezo wa kufanya vyema kila msimu?
Simba tokea msimu wa 2019 hadi sasa hakosekani kwenye robo fainali akisosekana klabu bingwa utamkuta kwenye shirikisho hiyo ndio inaitwa ni muendelezo na ndio mafanikio kinyume na hapo ni kubahatisha. Kama ilivyo kwa Yanga kufanya vyema kwa misimu miwili mfululizo.
Sasa embu nikumbushe hiyo miaka ya 70 ni miaka gani Simba na Yanga zilikuwa na muendelezo kama ilivyosasa?
Kanuni zinasemaje?Kwani mwenyeji ni nani.
Ukisha notify within muda uliotajwa kwenye kanuni uko safe. Huwezi kumpangia mwenyeji sehemu ya kuchezea game yake. Mwenye maamuzi ya kutumia uwanja ni mwenyeji. Hata akisema anaipeleka game yake Zanzibar utaenda tu ili mradi notification ifanyike kulingana na muda uliowekwa kwenye kanuni.Kanuni zinasemaje?
Msimu uliopita huo. Al ahyl alienda CCL Kwa sababu Gani ????? Kama unajua Tena alienda kuchukua ubingwa mbele ya wydad ???? Alimaliza nafasi ya 3 huku pyramid akimaliza nafasi 2 lkn waliona hata akienda pyramid asingeweza kutetea kombe Hilo Kama alivyofanya Al ahlyAzam ni wapole kwenye lipi?
Mara ngapi Yanga na Simba zinaangaika kupata nafasi ya kucheza hatua ya makundi iwe CAFCC au CAFCL na zilikuwa zinashindwa kwanini leo hii Azam wadidimizwe kisa usimba na uyanga? Mafanikio ya siku za hivi karibuni msijione ndio mnastahili kuwanyima wengine haki. Na kwa mentality hizi soka la Tanzania itaishia hivi kwa Simba na Yamga. Viongozi, mashabiki na wadau wengine hawataki kuona timu zingine zinafanikiwa nje ya Simba na Yanga. Wenzetu ni swala la kawaida kuona Pyramids anaenda kucheza klabu bingwa mbele ya Zamalek. Au kule Africa kusina Orlando na Kaizer chief zikishindwa kupata nafasi ya kucheza klabu bingwa. Ila huku sisi tunaakili za kufosi lazima iwe Simba na Yanga utafikiri ziliundwa na kufanikiwa papo hapo kumbe zimeanza kifanikiwa miaka ya 2000
Kinacholalamikiwa ni kwamba KMC wanasema kuwa kubadilishwa kwa uwanja haukufuata kanuni kuwa lazima iwe siku 7 kabla ya mchezoKwan nan yupo nyumban na nani anatakiwa apange uwanja wa kucheza au ni nje ya hapo maana bado sijaona wap kuna shida
Wewe unadhani ligi ingeisha kwa wakati huku Al Ahly akawa ni wa tatu, je wangefosi Al Ahly kwenda kucheza CAFCL?Msimu uliopita huo. Al ahyl alienda CCL Kwa sababu Gani ????? Kama unajua Tena alienda kuchukua ubingwa mbele ya wydad ???? Alimaliza nafasi ya 3 huku pyramid akimaliza nafasi 2 lkn waliona hata akienda pyramid asingeweza kutetea kombe Hilo Kama alivyofanya Al ahly
KMC FC wako sahihi 100% sema tu kwakuwa Serikali, BMT, TFF na TPLB wanataka Simba SC iwe ya Pili ili wazitumie Kisiasa mwakani kwa Mgombea wa CCM na pia wapige Hela kupitia Uwakilishi wao huko CAFCL. Azam FC ikiwa ya Pili mvuto wa Kisiasa kwa Mama kuzichangia hivi Vilabu Vikongwe na vyenye Ushawishi utapungua na Kuathiri kidogo nia yake ya Kuzitumia katika Kumpaisha zaidi Kisiasa hasa katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani ( 2025 )Kinacholalamikiwa ni kwamba KMC wanasema kuwa kubadilishwa kwa uwanja haukufuata kanuni kuwa lazima iwe siku 7 kabla ya mchezo
Wakati Simba mnapigwa 6=0 mlikuwa mnajiweza.Azama aende cafcc kwa usalama wake
Huku Cafcl hapa wezi kabisa