Mamsosa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2024
- 1,047
- 2,246
Una uhakika ulizaliwa?Mimi mwenyewe mzazi wa mtoto moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika ulizaliwa?Mimi mwenyewe mzazi wa mtoto moja
Mkuu NDIO, kwamba nilitagwa?Una uhakika ulizaliwa?
Kama ahituhusu umeweka ya nini? Anyways, HB 2UHabari wanajf,
Siku ya leo miaka 22 nyuma Dunia ilipata MBEBA MAONO.
Nikiwa kama kijana wa makamo na mwenye mchango mkubwa kwa taifa hili nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa.
Najua haiwahusu ila ndio hivyo tena hamna cha kufanya .
Alichokipenda Mungu wewe Mwanadamu huwezi kukichukia.
Amin,amin nakwambia kuzaliwa kwangu imekuwa muarubaini mkubwa sana kwa kukomesha ujinga na umaskini.
HAPPY BIRTHDAY TO ME.
Inawezekana ulitokana na mabadiliko ya tabia nchiMkuu NDIO, kwamba nilitagwa?
Mods ndio wamebadilisha mimi niliandika title"USINIFOKEE"Kama ahituhusu umeweka ya nini? Anyways, HB 2U
Mwanangu sijafoka. Nikifoka hutaweza kuandika hapa.Mods ndio wamebadilisha mimi niliandika title"USINIFOKEE"
Inawezekana maana mimi ni toleo la mwisho la aina yanguInawezekana ulitokana na mabadiliko ya tabia nchi
Ndio title niliyoiweka mods wakabadiliMwanangu sijafoka. Nikifoka hutaweza kuandika hapa.
Sawa kwamimi huo ni umama ....!!Huo utaratibu ni wauwanaume wako?
Mimi nasherekeea hadi muungano
Hela ipungue
Huo ni mtazamo wako mjombaSawa kwamimi huo ni umama ....!!
Sawa ila na umama , hayo mengine Utajua weweHuo ni mtazamo wako mjomba
Acha Kujibu vitu kwa hisia binafsi na mihemko
BaridiSawa ila na umama , hayo mengine Utajua wewe
Asante MankaUtajua wewe.
Happy birthday to you
Asante Manka
Wewe ni mtu wa kwanza kabisa kumjua jfSince when??
🤣🤣🤣 Kumbe una jeuriMimi mwenyewe mzazi wa mtoto moja
Wewe ni mtu wa kwanza kabisa kumjua jf
Hiyo siyo jeuri ni alama kujiamini🤣🤣🤣 Kumbe una jeuri