Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oil iliyotumika.Hakunaga wachezaji wengine mpka hawa hawa? scout wana kazi gani,?
Reject za Waarabu hizi, vipi Manzoki alikuja kuwa campaign manager tu? Mipango ya kumsajili imeishia wapi?
Ni kama kundi la Futuhi, Gentamasimavi ndio Brother K wao wa kukurupuka.Yani Simba bana!!!
Mnaanzaga hivyo halafu mnatoka kapa...mnabaki kuhesabu chenga za chama. Mbumbumbu bwanaTaja mchezaji anayemzidi chama assist,kama yupo lkn?..subirini mbona mtaita maji mma mwaka huu
We unaamuamini yule mzungu ?Hakunaga wachezaji wengine mpka hawa hawa? scout wana kazi gani,?
Labda ndio hitaji la timu na ripoti ya kocha robertinho inataka hivyoSimba walimsajili Miquesson WATAKUWA na Mawinga 11.
Mabeki WA kati 3
NAISIKITIKIA SANA HII TIMU.
NAYAONA MAKOSA TENA KWENYE USAJILI.
MASHABIKI JIANDAENI MAUMIVU.
Sio mbumbumbu kivile ila ma mbumbumbuYani Simba bana!!!
Duuu scout wamemnasa sawadogoHakunaga wachezaji wengine mpka hawa hawa? scout wana kazi gani,?
Tetesi zingine bwana..!!