Tetesi: Najua hii sio taarifa nzuri kwa Yanga

Tetesi: Najua hii sio taarifa nzuri kwa Yanga

Simba walimsajili Miquesson WATAKUWA na Mawinga 11.

Mabeki WA kati 3

NAISIKITIKIA SANA HII TIMU.
NAYAONA MAKOSA TENA KWENYE USAJILI.

MASHABIKI JIANDAENI MAUMIVU.
Unaweza taja hao mawinga 11,au unaropoka tu
 
Kama alikabwa na wachezaji aina ya wakina dante, yondani ikiwa yanga ya kuunga unga ije iwe leo yanga ikiwa imekamilika kila idara! Na ligi ya tanzania ikiwa imeimarika vya kutosha ajipange vizuri asidhani ligi aliyoiacha ndiyo ile ile mambo yamebadilika pakubwa sana akiwa amekaa nje ya uwanja kwa muda mrefu mpaka akatemwa timu yake ya taifa
Swali ni utamkaba nani umuache nani???elewa swali ewe utopolo
 
Hii ya ngoma imewauma sana eeh??[emoji23][emoji23]msijali ndo dunia ilivyo
Sisi mashabiki/wanachama wa Yanga tuna imani na viongozi wetu. Walishatoa tamko la kufunga usajili.

Hivyo tunachosubiria kwa sasa ni utambulisho tu wa hao wachezaji waliobakia.
 
Sisi mashabiki/wanachama wa Yanga tuna imani na viongozi wetu. Walishatoa tamko la kufunga usajili.

Hivyo tunachosubiria kwa sasa ni utambulisho tu wa hao wachezaji waliobakia.
Sa mbona wenzio wanamsubiri full back right ya asec mimosac,kwa jina la yao attoulla kouassi fundi kabisaaaaaa
 
Back
Top Bottom