Tetesi: Najua hii sio taarifa nzuri kwa Yanga

Tetesi: Najua hii sio taarifa nzuri kwa Yanga

Ila sisi Simba Ni wazembe Sana. Sasa hivi badala ya kuangalia mbele tumejikita kwenye bilioni za Moow.
Simba bila Moow inaweza kushuka daraja.
 
Swali ni watamkaba nani?

View attachment 2687228
Kama alikabwa na wachezaji aina ya wakina dante, yondani ikiwa yanga ya kuunga unga ije iwe leo yanga ikiwa imekamilika kila idara! Na ligi ya tanzania ikiwa imeimarika vya kutosha ajipange vizuri asidhani ligi aliyoiacha ndiyo ile ile mambo yamebadilika pakubwa sana akiwa amekaa nje ya uwanja kwa muda mrefu mpaka akatemwa timu yake ya taifa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila sisi Simba Ni wazembe Sana. Sasa hivi badala ya kuangalia mbele tumejikita kwenye bilioni za Moow.
Simba bila Moow inaweza kushuka daraja.
Utopolo bila gsm mwana Simba si mlikuwa omba omba aka matonya
 
Simba walimsajili Miquesson WATAKUWA na Mawinga 11.

Mabeki WA kati 3


NAISIKITIKIA SANA HII TIMU.
NAYAONA MAKOSA TENA KWENYE USAJILI.

MASHABIKI JIANDAENI MAUMIVU.
Wamegoma kabisa kusajili namba 6....... anyway bado dirisha halijafungwa tungoje.
 
Simba walimsajili Miquesson WATAKUWA na Mawinga 11.

Mabeki WA kati 3


NAISIKITIKIA SANA HII TIMU.
NAYAONA MAKOSA TENA KWENYE USAJILI.

MASHABIKI JIANDAENI MAUMIVU.
Usiongee kwa saut kuwakumbusha waache tuwabutue
 
Back
Top Bottom