Najua ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya~~ Hayati Magufuli

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,398
Reaction score
2,619
Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake, hivyo itabidi utekwe na kuuwawa.
Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi na dola kuliko awamu nyingine yoyote ile!
Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.
Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.
Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.
Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.
Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.
Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.

Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi, machawa na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
 
Uyo unaye mkumbuku kwa mazuri si ndo muanzilishi wa haya yanayo endelea sasa?
Mashitaka ya ugaidi dhidi ya mbowe yaliandaliwa chini ya utawala wa magufuri yakakamilika kipindi cha samia.
Samia sasa hivi amemuweka jera Lisu kwa kamosa ya uhaini lakini Magufuri alikata kumfuta kabisa duniani kwa kumpiga lisasi 28.
Ufisadi CIG aligundua ufisadi wa matilion ya fedha kwenye utawala wa magufuri badala ya kupongeza akafukuzwa kazi kwa dharau na kejeri.

Mtu yeyote anaye jifanya anapinga yanayo fanywa na samia alafu wakati huo anashabikia aliyo kuwa ana fanya magufuri ni mpumbavu na mnafiki.

Yaani samia hayuko sahihi kumteka Mdude na mumuua ila Magufuri alikuwa sahihi kumteka na kumuua Ben sanane?
 
Flyover mpya ziko wapi?
 
Gwajima yuko wapi
 
Ndio maana huwa tunasema Watanzania wengi vichwani ni empty set,yote yanayoendelea hapa ni zao la Magufuli.
Yote mabaya aliyayaleta Magufuli.
Hata SGR na kukomesha mgao wa umeme ni zao la magufuli pia
 
Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake, hivyo itabidi utekwe na kuuwawa.
Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi na dola kuliko awamu nyingine yoyote ile!
Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.
Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.
Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.
Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.
Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.
Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.

Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi, machawa na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
Mtu kaanzisha utekaji,wizi wa kura nchi nzima,kupotezwa kwa watu na haya yote yanayoendelea muasisi ni MAGUFULI na POLEPOLE je tunakumbuka kitu Gani?ambacho ni kumbukumbu kubwa kwa watanzania, MAGUFULI angekumbukwa kama angewapa watanzania KATIBA na TUME HURU YA UCHAGUZI.Angekuwa amemaliza kila kitu na angebaki kwenye kumbukumbu za Taifa daima.Uozo unaoendelea hauwezi kumuacha MAGUFULI salama.
 
Back
Top Bottom