Najua kuna watakaonicheka kuwa mimi ni mzembe lakini muda mwingine inahitajika kupumzika

Sawa, tumekuelewa.
 
Nilichogundua mtoa mada ni mtunzi mzuri sana wa Hadithi na Riwaya lakini anachangamoto katika uandishi wake katika umaliziaji wake wa story bado anatuacha sisi wasomaji katika wakati mgumu wa kutojua kuwa hapa ndo mwisho wa story au kuna muendelezo anyway party two unitag writter
 
Yani huo ndio uandishi mzuri, hata series ukiangalia unatakiwa usijue nini kitakuja, ili uwe na hamu ya kufuatilia next episode
 
Hii Chai tena ile chai ya mchaichai.🀣🀣


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Kipindi cha ujana 25-29 nilishawahi kupiga demu watatu kwa Siku moja bandika bandua. Hakuna maendeleo niliyofanya zaidi ya ku*mba. Ilifika kipindi ukitoka nje unahisi unabebwa na upepo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mdharau K, .......mamaye si maneno ya BAK hayo bali ya wahenga 🀣🀣

 
Mwendo wa kusakata kabumbu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Jamiiforum ni raha sana unaweza kuwa na stress bt ukija huku unajiona upo dunia nyingine kabisa kwa vicheko bt Hongera Mr Pompeo pia mjitahidi mumruhusu bwana yule mliyempga ban nchini kwenu aje kutembelea huko ili aondoe stress za kukatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…