Najua leo Taifa Stars inafuzu AFCON, ila ingefungwa na kutofuzu ningekuwa ni mwenye furaha kubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili.

Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama GENTAMYCINE sijafurahi kufuzu kwenu ila sina jinsi.
 
Kwani imekuwaje bro?
 
Hata wakipigwa wanafuzu?
 
Haini na Gaidi
 
Ali Salum akacheze Taifa Stars? Nchi imekuwa na Uhuru wa kujieleza hiii!!!
 
Acha unafiki pompoma wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…