vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Pole sana, na mwisho wa siku wamefuzu pasipo kuwepo hao wakina Tshabalala, Feitoto, Kapombe, Ally Salim, n.kHuwa sishangilii Timu ya Taifa Stars ikiwa na Wachezaji wengi wa Kigamboni Tano Tano Samaki FC huku wa Timu yangu ya Ushindi Mpira Mbovu FC wakiwa Wachache.