Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Solution ni kuwazuia wasicheze tupate sare.Tena mbali hasa au ndo ya Mungu mengi?
Saa 4 usiku.Mechi ni SAA ngapi
Wewe ni manyanza mume wake mwatano?Saa 4 usiku.
Mkuu mbona sielewi ulichokiandika ? 😂😂😂Wewe ni manyanza mume wake mwatano?
No Kuna manyanza mwingine basi kamtapeli mdogo wangu kuwa anafanya kazi mgodini kumbe ni mganga....pole mkuuMkuu mbona sielewi ulichokiandika ? 😂😂😂
Duh mbona Mimi nipo huku Simiyu Ikungulyabashashi. 😂😂😂No Kuna manyanza mwingine basi kamtapeli mdogo wangu kuwa anafanya kazi mgodini kumbe ni mganga....pole mkuu
Manyanza mwenyewe Yuko magu tu hapoDuh mbona Mimi nipo huku Simiyu Ikungulyabashashi. 😂😂😂
Hilo jina ni la Kanda ya Ziwa huku. Wasukuma/Wanyantuzu na watu wengine waliozaliwa maeneo ya MwanzaManyanza mwenyewe Yuko magu tu hapo
Saa 4 Kamili za Usiku wa leo.Mechi ni SAA ngapi
Ikitokea hivi Nitafurahi hakuna Mfano.Haifuzu wala nini,Uganda wanamfunga Niger.Taifa stars inafungwa na Algérie.
Pendaga vya kwenu muzeye.Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili.
Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama GENTAMYCINE sijafurahi kufuzu kwenu ila sina jinsi.
Haifuzu wala nini,Uganda wanamfunga Niger.Taifa stars inafungwa na Algérie.
Ni rahisi,kwanza wapo kwao na Nigér pale hakuna team.Stars ugenini,Algérie nao wanataka point zote ,hata kama wameshafuzu.Uganda kufuzu leo ni ngumu sana
Hivi hio mechi saa ngapi???Tanzania 3
Algeria 0
TANZANIA TAIFA TEULE
Hi Mechi haichezwi nchini Niger Mkuu?Ni rahisi,kwanza wapo kwao na Nigér pale hakuna team.Stars ugenini,Algérie nao wanataka point zote ,hata kama wameshafuzu.
Ooups,ni kweli inachezwa Niger.Hi Mechi haichezwi nchini Niger Mkuu?