Najua leo Taifa Stars inafuzu AFCON, ila ingefungwa na kutofuzu ningekuwa ni mwenye furaha kubwa

Huwa sishangilii Timu ya Taifa Stars ikiwa na Wachezaji wengi wa Kigamboni Tano Tano Samaki FC huku wa Timu yangu ya Ushindi Mpira Mbovu FC wakiwa Wachache.
Pole sana, na mwisho wa siku wamefuzu pasipo kuwepo hao wakina Tshabalala, Feitoto, Kapombe, Ally Salim, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…