Najua mke wake alipo, je? nimuonyeshe?

Najua mke wake alipo, je? nimuonyeshe?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu,

Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi,

Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho yake baada us kurudi mchana akamkuta hayupo,

Ukweli ni kwamba huyo mwanamke jamaa alikuwa Kama anamnyanyasa maana hata hiyo siku anaondoka jamaa hakumuachia hata hela ya Kula, na siku anaondoka Mimi nilimuona na kuna mtu amemchukua na kumpeleka sehemu akafanye kazi za ndani, ni binti wa kutoka mikoa ya kanda ya ziwa,

Binti alikuwa ni mrembo tu sana na heshima juu,

Ila kijana yeye anaiehi kwenye nyumba za urithi hivo yeyey ni bangi na sigara tu, mvivu wa kujituma kufanya kazi, hizi habari Mimi nimepewa na mtu aliyemtafutia hiyo kazi ya u house girl

Ukweli ni jamaa anatia huruma kwani kaniambia kabisa kuwa usiku hajalala,

Mm nikampa tu pole na kumuahidi kuwa ntampa taarifa nikijua alipo,

Nimeshuhudia akimvunjia simu Kama mara mbili hivi ya kwanza aliniagiza mwenyewe nimleteee haikumaliza hata siku tatu akavunjiwa na bwana wake,

Yule binti nikimtazama ni mwanamke Bora kabisa maana ni rafiki wa mke wangu hivo sitamani arudi nyuma maana ataharibikiwa kuishi na mtu ambaye haangalii maisha ya kesho,
 
Jamaa kamtaftia kazi za ndani kweli ama jamaa ameeenda kujitafunia?

Anyway, usimwambie chochote. Achana na huyo kima.

Kama umejirizisha kwamba jamaa anamnyanyasa basi usiruhusu hayo manyanyaso yaendelee, usimwambie chochote.
 
Hivi wanaume ikiwa mkasema ukweli kwa wenzenu inakuwaje!!!

Wanawake mngwesema nyamazweni, kama anamtesa ana ushuhuda si utulie asije kupigwa tena akaumia ukajiwikia vibaya.. labda mkewe aseme baadae kwake kwamba umeshiriki kumtorosha.
 
Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu,

Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi,

Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho yake baada us kurudi mchana akamkuta hayupo,

Ukweli ni kwamba huyo mwanamke jamaa alikuwa Kama anamnyanyasa maana hata hiyo siku anaondoka jamaa hakumuachia hata hela ya Kula, na siku anaondoka Mimi nilimuona na kuna mtu amemchukua na kumpeleka sehemu akafanye kazi za ndani, ni binti wa kutoka mikoa ya kanda ya ziwa,

Binti alikuwa ni mrembo tu sana na heshima juu,

Ila kijana yeye anaiehi kwenye nyumba za urithi hivo yeyey ni bangi na sigara tu, mvivu wa kujituma kufanya kazi, hizi habari Mimi nimepewa na mtu aliyemtafutia hiyo kazi ya u house girl

Ukweli ni jamaa anatia huruma kwani kaniambia kabisa kuwa usiku hajalala,

Mm nikampa tu pole na kumuahidi kuwa ntampa taarifa nikijua alipo,

Nimeshuhudia akimvunjia simu Kama mara mbili hivi ya kwanza aliniagiza mwenyewe nimleteee haikumaliza hata siku tatu akavunjiwa na bwana wake,

Yule binti nikimtazama ni mwanamke Bora kabisa maana ni rafiki wa mke wangu hivo sitamani arudi nyuma maana ataharibikiwa kuishi na mtu ambaye haangalii maisha ya kesho,

Usiruhusu arudi kwenye hayo mateso ya wanaume wa hovyo
 
Utasema sana,
MZURI
MREMBO
HANA MAKUU
ANANYANYASWA
MKE BORA

Ila Kwasababu huishi nae,

AKIKUPA HUMUWEZI HUYU
 
Mpaka JF “nikamkuta hayupo”?
natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu,

Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi,

Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho yake baada us kurudi mchana akamkuta hayupo,

Ukweli ni kwamba huyo mwanamke jamaa alikuwa Kama anamnyanyasa maana hata hiyo siku anaondoka jamaa hakumuachia hata hela ya Kula, na siku anaondoka Mimi nilimuona na kuna mtu amemchukua na kumpeleka sehemu akafanye kazi za ndani, ni binti wa kutoka mikoa ya kanda ya ziwa,

Binti alikuwa ni mrembo tu sana na heshima juu,

Ila kijana yeye anaiehi kwenye nyumba za urithi hivo yeyey ni bangi na sigara tu, mvivu wa kujituma kufanya kazi, hizi habari Mimi nimepewa na mtu aliyemtafutia hiyo kazi ya u house girl

Ukweli ni jamaa anatia huruma kwani kaniambia kabisa kuwa usiku hajalala,

Mm nikampa tu pole na kumuahidi kuwa ntampa taarifa nikijua alipo,

Nimeshuhudia akimvunjia simu Kama mara mbili hivi ya kwanza aliniagiza mwenyewe nimleteee haikumaliza hata siku tatu akavunjiwa na bwana wake,

Yule binti nikimtazama ni mwanamke Bora kabisa maana ni rafiki wa mke wangu hivo sitamani arudi nyuma maana ataharibikiwa kuishi na mtu ambaye haangalii maishJf
Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu,

Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi,

Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho yake baada us kurudi mchana akamkuta hayupo,

Ukweli ni kwamba huyo mwanamke jamaa alikuwa Kama anamnyanyasa maana hata hiyo siku anaondoka jamaa hakumuachia hata hela ya Kula, na siku anaondoka Mimi nilimuona na kuna mtu amemchukua na kumpeleka sehemu akafanye kazi za ndani, ni binti wa kutoka mikoa ya kanda ya ziwa,

Binti alikuwa ni mrembo tu sana na heshima juu,

Ila kijana yeye anaiehi kwenye nyumba za urithi hivo yeyey ni bangi na sigara tu, mvivu wa kujituma kufanya kazi, hizi habari Mimi nimepewa na mtu aliyemtafutia hiyo kazi ya u house girl

Ukweli ni jamaa anatia huruma kwani kaniambia kabisa kuwa usiku hajalala,

Mm nikampa tu pole na kumuahidi kuwa ntampa taarifa nikijua alipo,

Nimeshuhudia akimvunjia simu Kama mara mbili hivi ya kwanza aliniagiza mwenyewe nimleteee haikumaliza hata siku tatu akavunjiwa na bwana wake,

Yule binti nikimtazama ni mwanamke Bora kabisa maana ni rafiki wa mke wangu hivo sitamani arudi nyuma maana ataharibikiwa kuishi na mtu ambaye haangalii maisha ya kesho,
kuna watu JF wanaandika “nikamkuta hayupo”?? 😂😂
 
Back
Top Bottom