Alafu mkuu zaman hizo ndo zilikuwa nguo bora zaidi na zili2mika ipasavo. Dada zangu hapa kuna ki2 cha kujadili, hata kama zisingehamshwa hisi hasi bado sioni sababu inayo mfanya mvaaji aache nguo inayomsitiri na kukimbilia kipis, obviously wanalenga kuharas hisia za watazamaji!Lizzy,
Kwa dunia ya sasa, naweza kuvaa kama zamani (kama ulivyoeleza) na kwenda kanisani???
Well Nemo I dont believe that life is nothing but choices so I guess we are not on the same pageThats an OPINION. To be exact My opinion.......................which im hoping that you do realize and are aware that, it requires NO authorization from any other "being" but ME!
Now that we have cleared out your misconceptions, i.e hopefully.........................I'd love to hear out your take regarding what I have said as a whole!!?
Sijasema watu wavae hivyo nimejaribu tu kuangalia point ya huyo ndugu kuhusu watu kubaka ndugu zao kisa mwili unaonekana! Maana kama ni kweli anachosema itakua hamna aliyesalia enzi hizo!!Tatizo kubwa ni watu kuvaa nguo zisizoendana na sehemu husika....tukiambizana vizuri wahusika watapata msukumo wa kubadilika!Ila tukiendelea kutupiana lawama kama wengi wanavyofanya hatutafika popote!Wanaume watasema wanawake ndo wasababishi wa matamanio yao ya ngono yaliyokithiri wakati wenyewe wanashindwa kujidhibiti!!Wanawake nao japo sio wote watasema wanavaa kwasababu ya wanaume.....Nani hapa atakubali kubadilika wakati anaona sie mwenye kosa???Punguzeni tamaa na kukodolea hao wavaaji macho kama hawatapoteza interest ya kuvaa hivyo!!
Well Nemo I dont believe that life is nothing but choices so I guess we are not on the same page
Sipiyu huo mstari wa mwisho unastahiki thanks maana angalau inaonyesha unaona tatizo kwa vile lilivyo badala ya kulitumia kumlaumu fulani!!
au kuweka uwiano mzuri....na nyie wanaume muwe mnavaa nguo za kututamanisha na sisi.......hata sisi tunapenda kutamani jamani
Maadili kwa kweli yamepungua katika jamii yetu. Ni suala la kumuomba Mungu wanaume tusiangukie katika majaribu haya!
Na baadhi wanavaa kwasababu wanajua wanaume wanawakodolea macho.....wakikosa sababulabda watabadilika!!!Tatizo lipo pande zote, ila hapa nimeongelea upande wa mwanamke ambao ndio chanzo cha mtu kumuangalia na kumtamani kutokana na alivyovaa.
Tukipambana na chanzo tunaondoa uwezekano mkubwa wa tatizo kujirudia
Alafu mkuu zaman hizo ndo zilikuwa nguo bora zaidi na zili2mika ipasavo. Dada zangu hapa kuna ki2 cha kujadili, hata kama zisingehamshwa hisi hasi bado sioni sababu inayo mfanya mvaaji aache nguo inayomsitiri na kukimbilia kipis, obviously wanalenga kuharas hisia za watazamaji!
Hongera uliyejariwa kuwa na uwezo wa kuamua utamani kipi na usitamani kipi. Ningekuwa hivyo ningemshukuru sana muumba.
mama yako ni mwanamke au mwanaume?
Kama ni mwanamke umesha wahi kumwambia hili?
Tofautisha wanawake wenye staha zao na machangudoa
Na baadhi wanavaa kwasababu wanajua wanaume wanawakodolea macho.....wakikosa sababulabda watabadilika!!!
Sasa kama mtu anafanyiwa hayo yote na bado anaendelea hamuoni kwamba anapenda??mnataka aache kwaajili ya nani???Labda ndio raha yake....anaifurahisha nafsi yake badala ya kuvaa tofauti afurahishe zenu!!Kuwakodolea macho tu??!! Mbona ingekuwa si tatizo. Siku hizi wanatukanwa, wanatupiwa makopo au hata mawe, wanapigiwa kelele kila wanapokwenda, wanavuliwa nguo, wanapapaswa hadharani bila ridhaa zao na wanakosa watetezi wa papo kwa papo.
Sasa kama mtu anafanyiwa hayo yote na bado anaendelea hamuoni kwamba anapenda??mnataka aache kwaajili ya nani???Labda ndio raha yake....anaifurahisha nafsi yake badala ya kuvaa tofauti afurahishe zenu!!
Mkuu pa1 na hawa wa2 kuharas hisia zetu, bado sisi wanaume tunajukumu la kuonesha hekima na busara zetu, tusiwe kama mnyama flan ambaye aonapo kichaka tu hubanwa na haja kubwa!Mkuu
Kila kitu kina zama zake
Zamani kulikuwa na sheria miongoni mwa wazungu kwamba ukiua mhindi mwekundu (ambaye ndie mwenye asili halisi ya Bara la Amerika ya Kaskazini yote) hukamatwi na wala huna kosa. Ilikuwa kama operesheni fulani ya kupunguza watu wa jamii hiyo ili wazungu waweze kuishi kwa amani Amerika. Sasa hivi si hivyo tena.
Zikijirudia tena zama za kuvaa nusu uchi au kukaa uchi kabisa basi tutaendana nazo, na naona wazi zitaendana na ubakaji kuwa kitu cha kawaida
Sasa kama mvaaji anapenda kimini ila akaacha kuvaa kwasababu wakaka hamtaki atakua anamfurahisha nani kama sio nyie???Lizzy bana
Kuvaa kiheshima sio kufurahisha nafsi za wanaume
Dumelambegu nakuunga mkono kwa asilimia 200. Wanawake sasa wamekubuhu. Kwa kweli kama ni suala la mavazi ninawaunga mkono sana waarabu. Nadhani ndiyo maana waliamua kuwadhibiti kiasi cha kufunika mpaka nyuso zao.
Hivi unadhani kwa kuwa ni mamako akivaa nusu uchi watu hawamtamani huko mitaani??!!!!! Being your mom, sister or whatever has nothing to do with this topic........Toa hoja acha kulalama