pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
wakuu,
kama kichwa cha thread kinavyosomeka, ni ukweli usiopingika kuwa mavazi ya wanawake yanachangia sana vitendo vya ngono. Sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kuona akina dada mijini wakiwa na mavazi yanayoooneyesha waziwazi miili yao kama vile matiti, mapaja na sasa baadhi wameanza kuvaa nguo zinazoonyesha hata shanga viunoni. Hata bungeni sasa ugonjwa huo umebisha hodi na kukaribishwa kwa kishindo. Kuna picha kwenye jukwaa la jamii photos inayoonyesha dada mmoja akiwa kwenye club moja huku makalio yote yakiwa nje kabisa.
Jamani akina dada chondechonde wanaume kama sisi madume ya mbegu mnatutesa jamani. Tutaangamia wenzenu. Hivi serikali haioni tatizo hili! Na tamwa je?
Dumelambegu nakuunga mkono kwa asilimia 200. Wanawake sasa wamekubuhu. Kwa kweli kama ni suala la mavazi ninawaunga mkono sana waarabu. Nadhani ndiyo maana waliamua kuwadhibiti kiasi cha kufunika mpaka nyuso zao.
Kisichosemwa ni sawa na hakipo...usipende kumlazimishia mtu kile unachodhani/taka!!Nwy ndio uwezo kila mtu anao ishu ni kama anataka au la!!!Ndio maana wapo watu wanajiendekeza kwenye mambo mengi tu ila wakipata watu wakuwaelekeza ipasavyo na wenyewe wakawa na uhitaji wa kubadilika wanabadilika!!!Yote ni maamuzi!!
That's another way of saying baadhi ya wabunge wanawake ni machangudoa. Thanks for a loud thinking. Yu masti bi jiniasi!
mama yako ni mwanamke au mwanaume?
Kama ni mwanamke umesha wahi kumwambia hili?
Tofautisha wanawake wenye staha zao na machangudoa
kuweka uwiano mzuri....na nyie wanaume muwe mnavaa nguo za kututamanisha na sisi.......hata sisi tunapenda kutamani jamani
Duh hii kali!!!!