Katika ahadi za kipumbavu, ambazo watu wa Yanga wanaendelea kutoa ni pamoja na hii.
1. Ahadi no 1, ni ahadi ya Mtu anajiita Jimmy Kindoki, Simba ikiishinda Nkana, atatoa mke, Simba ilishinda.
2. Ahadi ya yule Tipwatipwa Tetema wa mabibo, Simba ikishinda, atatembea Uchi mabibo mzima, Simba ilishinda.
3, Kuna Wadangaji waliahidi, Simba ikishinda watajitolea kuwa mboga, Simba ilishinda.
4. Kuna mzee mwonekano wake, ni aina ya watu waliadhiliwa pombe za kienyeji, aliahidi Simba ikishinda, yupo tayari kuinama kwa hiyari, watu wapunge pepo, matokeo Simba ilishinda.
5.Kuna video Dada anaoneka amevaa jezi Ya yanga, akiahidi Simba ikishinda atatoa mnachujua wanaume wa Simba kwake, Simba ilishinda.
6. Mchungaji feki mmoja anaonekana, akidanga wana Yanga kuwa ameoteshwa na Mungu, eti Simba ingefungwa, matokeo Simba ilishinda zidi ya Yanga Yake.
Na hivi sasa wewe na wenzio mna ahidi kuhama nchi, hamuoni kuwa hii ni ahadi ya kipumbavu, Unaahidi kwenye forums unayotumia jina feki,
Sisi tutajuaje umetekeleza ahadi yako.
Ulitakiwa upige picha yako ya video kama wenzio, na ahidi kitu ambacho Utekelezaji wake, hautegemei hiari yako. Ila hii ahai hapa ni kujiimarisha upumbavu.
Sent using
Jamii Forums mobile app