Najua Simba hana uwezo wa kumfunga Mazembe

Najua Simba hana uwezo wa kumfunga Mazembe

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,955
Reaction score
8,120
Najiandaa kuhama nchi Simba akishinda Lubumbashi Uongozi wa Jamii Foroum Simba akishinda mnipige ban ya maisha nawa takia ushindi mwema TP Mazembe bana ba Congo piga mutu mukono ya nyani yaani goli tano Mputu ata pasi mu fensi
Bukoba
 
Mnahangaika sana aiseee...hivi huwa hamchoki tu mana mlianza mda mrefu sana
 
Bora uhame nchi ila usiombe ban niliwahi kumtukana Nandy nikapigwa ban ya siku mbili tu. Mpk kugegeda nilishindwa. Sio poa. Ila Simba anaweza kufa leo.



God's Plan.
 
Basi mkuu hatutamfunga, tutamwachia atufunge ili usihame nchi,tunaihitaji sana huduma yako kwa maendeleo ya nchi yet mkuu.

Hatutamfunga,ikiwezekana tutamroga mchezaji wowote wa Simba atakayeonekana ana kimbelembele cha kutaka kuwafunga ndugu zetu wa kikongo
 
Wadau Kuweni na akiba ya maneno coz huwezi jua

Kuna mdau humu jukwaani alisema Taifa stars ikiwafunga Uganda atakunya from Mwenge to Airport, baada ya mechi kuisha sijui kilichofuata

Mnaokaa pembeni mwa Sam Nujoma road, Mandela road and Nyerere road mnaweza kuleta mrejesho kama mlimuona mdau akitekeleza ahadi yake
 
Katika ahadi za kipumbavu, ambazo watu wa Yanga wanaendelea kutoa ni pamoja na hii.
1. Ahadi no 1, ni ahadi ya Mtu anajiita Jimmy Kindoki, Simba ikiishinda Nkana, atatoa mke, Simba ilishinda.

2. Ahadi ya yule Tipwatipwa Tetema wa mabibo, Simba ikishinda, atatembea Uchi mabibo mzima, Simba ilishinda.

3, Kuna Wadangaji waliahidi, Simba ikishinda watajitolea kuwa mboga, Simba ilishinda.

4. Kuna mzee mwonekano wake, ni aina ya watu waliadhiliwa pombe za kienyeji, aliahidi Simba ikishinda, yupo tayari kuinama kwa hiyari, watu wapunge pepo, matokeo Simba ilishinda.

5.Kuna video Dada anaoneka amevaa jezi Ya yanga, akiahidi Simba ikishinda atatoa mnachujua wanaume wa Simba kwake, Simba ilishinda.

6. Mchungaji feki mmoja anaonekana, akidanga wana Yanga kuwa ameoteshwa na Mungu, eti Simba ingefungwa, matokeo Simba ilishinda zidi ya Yanga Yake.

Na hivi sasa wewe na wenzio mna ahidi kuhama nchi, hamuoni kuwa hii ni ahadi ya kipumbavu, Unaahidi kwenye forums unayotumia jina feki,
Sisi tutajuaje umetekeleza ahadi yako.

Ulitakiwa upige picha yako ya video kama wenzio, na ahidi kitu ambacho Utekelezaji wake, hautegemei hiari yako. Ila hii ahai hapa ni kujiimarisha upumbavu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom