Ndeonasiae
Senior Member
- Aug 15, 2011
- 102
- 49
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?
sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.

Msiwategemee wanaume pekee kudumisha ndoa, mnao wajibu huo pia!
Unapoona mumeo anakukosea fanya jitihada muyazungumze (hata ikibidi kwa kuwashirikisha viongozi wenu wa kiimani na ndugu wa pande zote mbili) na kuwekana sawa.
Hivi wewe mpaka wanafikia kuachana kwa akili zako hawajawahi kuzungumza????!!!!!daahhh yani majibu menhgine bwana.....
Dada pole sana kwa yaliokukuta,usigeuke nyuma songa mbele sana tuuuu,hawa wajinga ukimpa nafasi ya kurudiana ndio anakutenda zaidi......yalinikuta. Ila kwakweli namshukuru Mungu sanaaaaaaa bora niisiwe na mume kuliko kuwa na mume halafu sina raha mpaka mtu unajifikiria kujiua kisa binadamu mwenzako. Nakuomba uwe strong na uwe happy maana ukiwa miserable ndo wanafurahia wenzio anaona amekuweza.
Hivi wewe mpaka wanafikia kuachana kwa akili zako hawajawahi kuzungumza????!!!!!daahhh yani majibu menhgine bwana.....
wanaume wanachosha na wanazeesha pole dada maisha ni kusonga mbelepole kwa waliokufanyia unafiki