Siwezi kukusapoti haaaata kidogo kwa kuwa siyajui maisha yako na huyo aliyekufanyia hivyo. Kuna tabia ya wanawake kujiliza just to win public sympathy toka kwa watu wasiofikiri mara mbili. Kila tatizo ktk mahusiano linapotokea huwa kila mmoja wenua ana mchango wake mpk mkafikia hapo mlikofika. Na the way nawajua wanawake, kuna kitu utakuwa ulifanya na yeye akakutatia tamaa, hilo la kwanza. Pili, what if hivyo ndivyo alivyo na tangua awali ulimjua ila ukaenda kwako kwa tamaa ya vile anavyomiliki sasa leo yamekukuta ndio unajinadi kuwachukia wanaume. 'Nakuhakikishia siku ukiwa karibu yangu, utafuta hiyo kauli ya kuwachukia wanaume wote'
Ngoja nikwambieni kwa nini siwaamini wanawake: Nina rafiki yangu wa kike ambaye ana wapenzi kama 6 hivi tofauti wakiwamo wazee wenye ndoa zao. Ila kati ya hao yupo mmoja ambaye ni kijana anafanya kazi kwenye gazeti fulani la serikali kaofisi ka pale samora ambaye yeye kwa ukweli kapendwa kiukweli na Razia. Mimi kwa kutokupenda ufukunyuku wa namna ile nikakaeleza kale kajamaa juu ya Razia na tabia yake, na kwa kuwa ni kasomi kakachunguza na kalinielewa. Hakakupoteza muda kumwambia Razia kitu, kalichofanya ni kutafuta 'demu' mwingine. Siku Razia alipokuja kujua, tulikuwa kwenye taxi tunaenda home jioni tumetoka job. Huwezi amini jinsi mtoto wa kike alivyolowanisha viti vya taxi ya watu kwa machozi. Kwa ukweli sijawahi kushangaa kama siku ile, sikuwahi kukaa nikawaza kuwa Razia naye anaweza kuwa na wivu kwa jinsi alivyo na rundo la wanaume. Nilicheka mpk dreva taxi akatishia kusitisha huduma kwa maana Razia analia, mimi nacheka huku mwenzetu mwingine ambaye naye ni wa kike akimbebembeleza bila mafanikio.
Kwa hiyo ndugu zangu hawa wanawake na visa vya kutendwa nao muwachukulie kwa tahadhari. Hakuna nyoka mbaya kama wa kike