arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?
sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.
Pole mrembo, maisha ndiovyo yalivyo mnapogombana au kuachana utapata mengi alokua anakutendea mwenzio sababu wanajua mmeshagombana wazushi watazua kama wanavyokuja kwako kukueleza mambo yasio faa wengine pia wanakwenda kule kwa mumeo kumueleza mabaya kuhusu wewe,ili usizidi kuumia wachana na kusikiliza habari zilizopita za huyo bwana sababu haitakuongezea chochote ispokua machungu,
jaribu kujishughulisha na kazi zako atakae kuletea story zozote mwambia aseme kilomleta sio mambo ya huyo jamaa umeshamtapika basi ....