Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?
sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.
Ila ungejua upande wa pili,nipo ninaeamini kuwa wanawake ni viumbe waliokosea wakawa hapa duniani,hawastahili kuwepo hapa.Wana mambo ya ajabu!Sijui kwa jibu langu litakufundisha nini!
mi nawapenda mnooo na cjawai kuwachuki na cwez kuja kuwa dis loh!
Kuwachukia wanaume kwa namna hii ni dalili kubwa sana ya USAGAJI au USAGWAJIOnly after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?
sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.
Ahsante sana kaka.Watu wanapenda sana kulaumu upande mmoja na ku-judge watu collectively.Siwezi kukusapoti haaaata kidogo kwa kuwa siyajui maisha yako na huyo aliyekufanyia hivyo. Kuna tabia ya wanawake kujiliza just to win public sympathy toka kwa watu wasiofikiri mara mbili. Kila tatizo ktk mahusiano linapotokea huwa kila mmoja wenua ana mchango wake mpk mkafikia hapo mlikofika. Na the way nawajua wanawake, kuna kitu utakuwa ulifanya na yeye akakutatia tamaa, hilo la kwanza. Pili, what if hivyo ndivyo alivyo na tangua awali ulimjua ila ukaenda kwako kwa tamaa ya vile anavyomiliki sasa leo yamekukuta ndio unajinadi kuwachukia wanaume. 'Nakuhakikishia siku ukiwa karibu yangu, utafuta hiyo kauli ya kuwachukia wanaume wote'
Ngoja nikwambieni kwa nini siwaamini wanawake: Nina rafiki yangu wa kike ambaye ana wapenzi kama 6 hivi tofauti wakiwamo wazee wenye ndoa zao. Ila kati ya hao yupo mmoja ambaye ni kijana anafanya kazi kwenye gazeti fulani la serikali kaofisi ka pale samora ambaye yeye kwa ukweli kapendwa kiukweli na Razia. Mimi kwa kutokupenda ufukunyuku wa namna ile nikakaeleza kale kajamaa juu ya Razia na tabia yake, na kwa kuwa ni kasomi kakachunguza na kalinielewa. Hakakupoteza muda kumwambia Razia kitu, kalichofanya ni kutafuta 'demu' mwingine. Siku Razia alipokuja kujua, tulikuwa kwenye taxi tunaenda home jioni tumetoka job. Huwezi amini jinsi mtoto wa kike alivyolowanisha viti vya taxi ya watu kwa machozi. Kwa ukweli sijawahi kushangaa kama siku ile, sikuwahi kukaa nikawaza kuwa Razia naye anaweza kuwa na wivu kwa jinsi alivyo na rundo la wanaume. Nilicheka mpk dreva taxi akatishia kusitisha huduma kwa maana Razia analia, mimi nacheka huku mwenzetu mwingine ambaye naye ni wa kike akimbebembeleza bila mafanikio.
Kwa hiyo ndugu zangu hawa wanawake na visa vya kutendwa nao muwachukulie kwa tahadhari. Hakuna nyoka mbaya kama wa kike
Endelea kutupenda bi dada. Tunafarijika kwa upendo wako. Nalog offmi nawapenda mnooo na cjawai kuwachuki na cwez kuja kuwa dis loh!
Huu sasa uonevu wa waziwazi kabisa!! U always undermind the ideas of women! Sorry to say that u are living under the umbrella of something like hatred!
Linafundisha kuwa bdo unaishi ktk zamani, badilika, otherwise utaleta tabu...i thnk u knw what i mean!
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?
sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.
dont gues! Ndio hali halisi, the guy need psychological healing cuz jana kaweka post anaexpres hatred toward his mama though it wasnt direct!
Mweeehhh ngoja niku PM ujiandikishe kwenye chama chetu
pole sana kwahiyo utavumilia tu kukosa kale ka utamu???????????