0897
Member
- Feb 25, 2022
- 39
- 92
Badala ya Viongozi wa Upande wa Wanachama kuja na majibu kuwa mchakato unakwama wapi na wanamsaidiaje mwekezaji kumaliza mchakato ili asiendelee kutoa pesa zisizo kwenye makubaliano nao wako busy kushindana naye[emoji1]
Simple tu huyo tajiri anayetaka kurithi nafasi ya Mo Dewji ajitokeze azungumza na tajiri mwenzake arudishe gharama zake kisha yeye achukue timu.
Mpaka sasa Mohammed Dewji ndio kiongozi wa mpira allyetimiza ahadi ya kuifanya Simba SC kuwa timu shindani Afrika. Hawa wanywa Kahawa wenzetu miaka 80 wapo tu hawana jipya hata Mo akitoka watachangisha bukubuku tu ili timu ijiendeshe hawana dira yoyote ya kusaidia timu kiuchumi.