Najua wafuasi wa Mangungu hii wataipinga tu

Najua wafuasi wa Mangungu hii wataipinga tu

0897

Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
39
Reaction score
92
Badala ya Viongozi wa Upande wa Wanachama kuja na majibu kuwa mchakato unakwama wapi na wanamsaidiaje mwekezaji kumaliza mchakato ili asiendelee kutoa pesa zisizo kwenye makubaliano nao wako busy kushindana naye[emoji1]

Simple tu huyo tajiri anayetaka kurithi nafasi ya Mo Dewji ajitokeze azungumza na tajiri mwenzake arudishe gharama zake kisha yeye achukue timu.

Mpaka sasa Mohammed Dewji ndio kiongozi wa mpira allyetimiza ahadi ya kuifanya Simba SC kuwa timu shindani Afrika. Hawa wanywa Kahawa wenzetu miaka 80 wapo tu hawana jipya hata Mo akitoka watachangisha bukubuku tu ili timu ijiendeshe hawana dira yoyote ya kusaidia timu kiuchumi.
 
Screenshot_2024-05-16-19-43-35-709_com.instagram.android.jpg
 
Hatimaye zile bilioni 20 za mwekezaji zimeanza kuzaa matunda.
 
Am
Badala ya Viongozi wa Upande wa Wanachama kuja na majibu kuwa mchakato unakwama wapi na wanamsaidiaje mwekezaji kumaliza mchakato ili asiendelee kutoa pesa zisizo kwenye makubaliano nao wako busy kushindana naye[emoji1]

Simple tu huyo tajiri anayetaka kurithi nafasi ya @moodewji ajitokeze azungumza na tajiri mwenzake arudishe gharama zake kisha yeye achukue timu.

Mpaka sasa Mohammed Dewji ndio kiongozi wa mpira allyetimiza ahadi ya kuifanya Simba SC kuwa timu shindani Afrika. Hawa wanywa Kahawa wenzetu miaka 80 wapo tu hawana jipya hata Mo akitoka watachangisha bukubuku tu ili timu ijiendeshe hawana dira yoyote ya kusaidia timu kiuchumi.
Amlipe kwa makubaliano gani??

Klabu haijafanyiwa transformation mpaka leo

Hakuna hisa zimeuzwa , 49% ni story tu lakin hazijauzwa sababu mchakato unatakiwa kuanza upya.

So hata nafasi ya uenyekiti wa bodi HAIPO.

Mashabiki waache HISIA kwa hili jambo la kisheria nakimkataba.
 
Back
Top Bottom