Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders

Vission + composure 💯

Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥

Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252
Nenda kamuangaloe messi akiwa anavaa Jersey no. 19 mgongoni kwanza akiwa na nywele ndefu kichwani kisha ndo urudi kuandika upya wewe unamuongelea Messi uliyekuja kumuona anacheza mpira akiwa ma miaka 30
 
Kamuangalie yamal aliebeba euro akiwa na miaka 16
 
Kama unataka boli la maonyesho Messi hakuwa na hizo mambo. Hayo mambo waachie Neymar, Gaucho, Yamal

Ila kuhusu kukusanya vijiji na kuisadia timu ishinde iwe kwa magoli, assists, faulo Messi yuko dunia nyingine

Tuseme tu dogo ana future potential ikiwa ataendelea kuwa na consistency

Ulimwengu wa soka kwa makosa uliwahi kutabiri Messi ajaye ni Neymar

Tusiwape presha young talents kuwalinganisha na legends

Shabiki mkongwe wa Barça

End
Kwa sasa naona hata Lamine ameanza mpira wa kufanya team iwe na matokeo zaidi kama alivyokuwa Messi.

Anachomiss Lamine ni kizazi chake pale Barca hajakutana na mafundi kama ambavyo Messi alivyokuwa na Iniesta, Xavi, Alves na Busquets.

Upo sahihi, dogo anaonekana ana future potential kubwa saana sababu katika umri huu na kizazi hiki cha mpira, dogo ameonesha kiwango cha hali ya juu sana.
 
Nenda kamuangaloe messi akiwa anavaa Jersey no. 19 mgongoni kwanza akiwa na nywele ndefu kichwani kisha ndo urudi kuandika upya wewe unamuongelea Messi uliyekuja kumuona anacheza mpira akiwa ma miaka 30
Messi unayemzungumzia wewe alikuwa anatolewa hadi sub dakika za 70, alikuwa na machachari sana lakini sio kiwango cha kuibeba team kama hivi ambavyo Lamine anafanya.

Pia, Messi alikutana na Barca ikiwa ktk ubora wa hali juu eneo la kiungo na beki ya kulia.
 
Kamuangalie yamal aliebeba euro akiwa na miaka 16
Mimi ni shabiki wa Barca muda sana na kuanzia Messi hadi huyu Lamine Yamal waanza pale Barca nawaona kwa macho yangu.

Hiki cha EURO kubebwa na dogo, ndipo nilipokuja kuamini kwa umri ule hata Messi hakuwa na kipaji kile kwa umri ule ule wa 16 hadi 17.
 
Ukiangalia UEFA utapata majibu ya hoja yako mtoa mada maana Messi kwenye haya mashindano ndio yalimpaisha sana kwa kuibeba Barcelona na si makombe ya Copa de ray sijui super cup..
 
Messi unayemzungumzia wewe alikuwa anatolewa hadi sub dakika za 70, alikuwa na machachari sana lakini sio kiwango cha kuibeba team kama hivi ambavyo Lamine anafanya.

Pia, Messi alikutana na Barca ikiwa ktk ubora wa hali juu eneo la kiungo na beki ya kulia.
Sidhani kama Lamine kacheza fainal yeyote ya Uefa wakati Messi ni jini lile aisee ndio mchezaji alievunja rekodi ya kufunga magoli 26 katika mechi mbili za Madrid vs Barcelona.
 
Mkuu, embu tuongee kwa facts kidogo. Hapa tunazungumzia katika udogo wao, yaani below 20 nani ambae ni talented. Obviously ni Lamine Yamal. Lamine Yamal ana 17 anaingia 18, yamkini ulikuwa umesahau hili.

Messi anabeba UEFA dhidi ya Man U ya Fergson alikuwa above 20. Lamine anabeba trophies akiwa below 20, ikiwemo EURO.

Messi kwa umri wa Lamine Yamal alikutana na mafundi wengi sana pale Barca hasa hasa Xavi, Iniesta, Alves na Sergio B. Lamine anacheza mpira Barca ikiwa ipo vibaya sana financially, ndio maana inachukua akina Rashford kwa mkopo n.k

Kumbuka hata Messi aliondoka Barca sababu ya kuona anachukua mshahara mkubwa sana huku timu ikiwa haina ela, pili aliondoka baada ya kuona timu HAINA uwezo tena wa kusajili wachezaji wa kuendana nae.

Lamina anacheza Barca akiwa na vitoto wenzake kama yeye. Messi aliwakuta akina Saviola, Gaucho, Xavi, Puyol n.k timu ambayo ilikuwa imekamilika haswa, kumbuka Messi alikuwa anaanzia Sub Barca na akina kikosi cha kwanza alikuwa hamalizi ila Lamine anacheza 90 minutes.
 
Mkuu mimi ni Madrid ila baada ya Gaucho niliowaona wakicheza mpira wa ajabu ni huyo Messi lile ni jini kwenye soka..hao wachezaji hata tuwe na mahaba nao sio wa kumuweka level moja na Messi.
 
Niliachaga kuangalia mpira!! ila nikasema ngoja nimuone huyo Lamine wanae msema huenda kuna cha ziada!!..

Kiukweli sikuona maajabu yoyote, zaid ya kuona mtu anajitutumua tuu...

Uchezajj wake
Ni basics + mazoez
Skills ni kidog sana, halafu zile basics tuu
 
Acha kuangalia mpira mkuu
 
Ujue nimeufatilia huu mjadala tangu umeanza. Kiukweli sijajua watu kwanini wamefikia hatua ya kumfananisha tu huyu Dogo na Messi, sijapata jibu kabisa. Kuna dogo pale Barca Anzu Fati nadhani aliibuka ghafla alisifiwa sana ila hakudumu kwenye kiwango chake nadhani ni shida majeruhi pia. Lamine anacheza kawaida tu kama wachezaji wengine wa sasa.So,kama unaona maajab makubwa kwake hadi ukafikia hitimisho kwamba anamzidi Messi basi hujaangalia ball na hujawahi kumuona Messi. Haka ka Lamine kanakabwa mpaka na Cucurella...Messi alikuwa anaundiwa tume na timu pinzani jinsi ya kumkaba au kuziba mianya yote asipokee mipira maeneo hatarishi. Morihno ashawahi kuunda mikakati ya kumkaba Messi tu. Huyu Lamine analialia et nakabwa anataka aachiwe akafunge.Diego Simion alimwambia akacheze Tenesi aache kulialia, huwezi kusikia kwa Messi zaidi alikuwa anawavuruga mabeki hadi hawaelewi kaondoka vipi na mpira. Tafuta solo goals za Messi ndo utajua jamaa alikuwa anachezeshwa na Pad.
Hata kwa Neymar bado mno hajafika hicho kiwango,.. kwa kila kitu hamzidi Neymar. Acheni kumlinganisha Messi na Lamine kwa wakati wowote sababu kila mchezaji anawakati wake, wapo wanaotamba tangu wadogo hadi wanastaafu soka,wapo wanaotamba kwa muda mfupi na wapo wanaotamba wakielekea kumaliza soka lao. Hii habari mara anamiaka 16 ni hatari kuliko Messi kwa umri huo na vipi akichuja akiwa na umri mdogo bado mtasema anakipaji kumzdi Messi? Kila mtu na wakati wake,...anzeni kumfananisha na kina Vin, Olise,au Mbape sabab ndo wakati wao huu. MPIRA HAUNA UTOTO wala UKUBWA ukishapandishwa timu ya wakubwa tu we tayari ni mkubwa.
 
Mkuu, embu tuongee kwa facts kidogo. Hapa tunazungumzia katika udogo wao, yaani below 20 nani ambae ni talented. Obviously ni Lamine Yamal. Lamine Yamal ana 17 anaingia 18, yamkini ulikuwa umesahau hili.

Messi anabeba UEFA dhidi ya Man U ya Fergson alikuwa above 20. Lamine anabeba trophies akiwa below 20, ikiwemo EURO.

Messi kwa umri wa Lamine Yamal alikutana na mafundi wengi sana pale Barca hasa hasa Xavi, Iniesta, Alves na Sergio B. Lamine anacheza mpira Barca ikiwa ipo vibaya sana financially, ndio maana inachukua akina Rashford kwa mkopo n.k

Kumbuka hata Messi aliondoka Barca sababu ya kuona anachukua mshahara mkubwa sana huku timu ikiwa haina ela, pili aliondoka baada ya kuona timu HAINA uwezo tena wa kusajili wachezaji wa kuendana nae.

Lamina anacheza Barca akiwa na vitoto wenzake kama yeye. Messi aliwakuta akina Saviola, Gaucho, Xavi, Puyol n.k timu ambayo ilikuwa imekamilika haswa, kumbuka Messi alikuwa anaanzia Sub Barca na akina kikosi cha kwanza alikuwa hamalizi ila Lamine anacheza 90 minutes.
Ujue Swala la makombe ni kitu cha kitimu zaidi au mchango wa wote.
Labda tungeangalia zile tuzo binafsi walizopata wakiwa na umri huo kama zawadi ya mchango mkubwa wa mafanikio wa timu zao.
Yaan kama inafikia hatua Yamal ndo anaonekana ni kipaji sana hadi kufananishwa na wakongwe waliofanya makubwa kwenye soka duniani basi kiukweli talent zimepungua mno kwenye soka letu sabbu hata huyo Lamine na kipaji chake asingeweza kuingia chaguo la kwanza la mwalimu mbele ya Barca ambayo Messi aliikuta. Asingetoboa hata kidogo sabab Barca ilikuwa na Talent nyingi sna ndo maana hata Messi ilichukua mda kuanza first 11.Lamine kuanza first 11 si ajab sababu Barca ina Talent za kawaida sana sahizi,wapo mpaka kina Kunde sijui.
 
Kama ikitokea Lamin Yamal hatapona kwa wakati kabla ya world cup ya mwezi ujao, basi mashindano yahairshwe mpaka dogo apone kabisa.
Dogo ndio star wa kwenye kombe la dunia la 2026. Amerudisha tabasamu kwa wapenda soka dunia.
 
Ndo shida ya kwenda chooni unaacha kinywaji mezani🫠🫠🫠wameshakuchanganyia ugoro
 
Huyu kenge alifikiria Nini kumfananisha messi na Yamal. Wewe inabidi upigwe viboko hadharani na urudi kwenye kuangalia maigizo maana umeukosea sana mpira
 
Back
Top Bottom