Young CR7 young Messi ni GOAT since thenRecency bias.
Lakini pia ili tusikuone mjinga angalau ungesema "Yamal is talented than Young Messi.
Kwa sababu young Messi na Messi ni watu wawili tofauti mmoja hapo ni GOAT.
Hata kwa mtokea benchi Luis nan hajafikaNakataa kwa herufi kubwa. Hajafika hata talent aliyokuwa nayo neymar
Hata kwa neymar'ronaldinyo hafikiThis kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders
Vission + composure 💯
Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥
Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yeyote ya uwanjaView attachment 3571252
Ronaldinho Gaucho ndo hajapata mpinzani hadi leoMuda utaongea ila kwa Sasa Messi ndo mchezaji Bora tangu Mpira wa miguu uanzishwe .
Watoto wa juzi tu ndio wataichanganga hii mbuzi na CR7. Mnaongelea nini nyie?. CR7 kweli umlinganishe na hii filigisi?. Mapenzi yenu kwa mesi yasiwafanye muwe vipofuKweli ni most talented lkn kumcompare na LEO hapana labda CR 7
Usiseme mapenzi ya messi.Watoto wa juzi tu ndio wataichanganga hii mbuzi na CR7. Mnaongelea nini nyie?. CR7 kweli umlinganishe na hii filigisi?. Mapenzi yenu kwa mesi yasiwafanye muwe vipofu