min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Cr7 kacheza lig 5 na kote kakichafua hatariDogo huwa namkubali kwenye kutoa pass tu ni hatari
Ila Messi Mhh sijaona bado wa kumfananisha nae
Cr7 kacheza lig 5 na kote kakichafua hatariDogo huwa namkubali kwenye kutoa pass tu ni hatari
Ila Messi Mhh sijaona bado wa kumfananisha nae
SAwa.Young CR7 young Messi ni GOAT since then
Hata angecheza 100.Cr7 kacheza lig 5 na kote kakichafua hatari
Namba za kitu gani?Hata angecheza 100.
hii sababu nyepesi sana, leteni namba.
ZA simuNamba za kitu gani?
🚮Namba za kitu gani?
Ukiambiwa uchague most skilfull player kati ya JJ Okocha,Neymar na Gaucho unaenda na nani?NI kweli messi hakuwa na skills nyingiiiii, lakini alikuwa na impact kubwa kwenye game, kiujumla huyu bwana mdogo bado saaana kwa messi.. km issue ni skills, sidhani kama kafikia walau nusu ya neymar.. katika wachezaji, mawinga waliokuwa na udambwi udambwi basi neymar ni master zaidi..
Wewe ni Man U damu damu.Cr7 kacheza lig 5 na kote kakichafua hatari
Messi pia na mkubali sana tuWewe ni Man U damu damu.
Lazima umkubali Penaldo.
Bado magoli 800+ assist za kutosha , na tuzo za balloon 7+Acha utani, umemuona huyo mtoto ndani ya mwaka mmoja tayari uneshaamua ana kipaji zaidi ya Messi!
Ballon d Or, La liga, Champions League, Super Cup, Club World Cup.
Hayo mashindano yote hapo juu yanamsubiri huyo mtoto wako.
Yamal = smart dribblerNI kweli messi hakuwa na skills nyingiiiii, lakini alikuwa na impact kubwa kwenye game, kiujumla huyu bwana mdogo bado saaana kwa messi.. km issue ni skills, sidhani kama kafikia walau nusu ya neymar.. katika wachezaji, mawinga waliokuwa na udambwi udambwi basi neymar ni master zaidi..
Just imagine mwamba hapa alipita na kwenda zakeMessi amecheza na wachezaji ambao naweza sema walikuwa bora kuliko Lamine, Sneijder,Herny, Pirlo, Xavi,Iniesta,Busquet, Kross, Modric, Scholes, Rooney, Gerrard, Lampard, Makelele,Ruben,Ribbery nk hawa wote ni bora kuliko Lamine, ila Messi alikuwa bora zaidi yao.
Unamzungumzia Uncoachable player, Messi anaweza akawa false no 9 akadeliver ,anaweza akawa namba kumi play maker brain ya timu akadeliver, Lamine hii kitu hawezi msimbebeshe mzigo mzito.
Nikitizama sasa hivi hamna talents za kitisha kama kipindi cha nyuma,Lamine mzuri ila bado ana vingi vya kujifunza.