Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Kwanini mfano uwe wa man u 😆😆😆😆Just imagine mwamba hapa alipita na kwenda zake
Ferdinand
Vidić
Evra
Neville
Kwanini mfano uwe wa man u 😆😆😆😆Just imagine mwamba hapa alipita na kwenda zake
Ferdinand
Vidić
Evra
Neville
Unaongelea vip football bila kuitaja manjesta bwashee 😂Kwanini mfano uwe wa man u 😆😆😆😆
Muendelezo wa kiwango kizuri ndio mtihani. Messi na ronaldo wamekiwasha kwa miaka zaidi ya 12, sio mchezo.Ngoja afike iyo 20 nae Messi hatogusa
Kina Jack Wilshere walikuja kama wonderkind nakupotea fyaa😂Muendelezo wa kiwango kizuri ndio mtihani. Messi na ronaldo wamekiwasha kwa miaka zaidi ya 12, sio mchezo.
Yaaan CR7 mtambo wa mabao umlinganishe na hicho kitoto ambacho akina UCLKweli ni most talented lkn kumcompare na LEO hapana labda CR 7
Yamal ata kwa vin afui dafuWatoto wa juzi tu ndio wataichanganga hii mbuzi na CR7. Mnaongelea nini nyie?. CR7 kweli umlinganishe na hii filigisi?. Mapenzi yenu kwa mesi yasiwafanye muwe vipofu
Soma vizuri comment yangu. Nimesema kwamba ukimlinganisha Messi wa miaka 17 na Yamal wa miaka 17, Yamal ana impact kubwa zaidi uwanjani. Lakini career ya mtu inaangaliwa kwa muendelezo wake wa miaka mingi. Kwahiyo Yamal bado ana safari ndefu ya kuwekwa kwenye meza moja na Messi. Kuna uwezekano akashindwa na kuna uwezekano akafanikiwa ilankwa sasa bado mapema ku-judgeUmejuaje kuwa ata drops ?
Fact fans wa barca watakuja kupingaSoma vizuri comment yangu. Nimesema kwamba ukimlinganisha Messi wa miaka 17 na Yamal wa miaka 17, Yamal ana impact kubwa zaidi uwanjani. Lakini career ya mtu inaangaliwa kwa muendelezo wake wa miaka mingi. Kwahiyo Yamal bado ana safari ndefu ya kuwekwa kwenye meza moja na Messi. Kuna uwezekano akashindwa na kuna uwezekano akafanikiwa ilankwa sasa bado mapema ku-judge
Unaweza kuwa kama CR7 ila huwezi kuwa kama Messi mbaka Mungu aamue yeye kama alivyo yamalKweli ni most talented lkn kumcompare na LEO hapana labda CR 7
Tandika si ndo mnapookota wachezaji wenu hapo ukoloni.Wachezaji kama Lamine pale Tandika wapo wengi tu
Kama uwezo wa mchezaji unapimwa kwa namna yeyote tu utakayojisikia wewe bhasi ulichokiandika uko sahihi sababu umejisikia tu kusema hivyo.Pima Kwa namna unayotaka wewe